Nyumba yenye thamani ya bilion 4 Ridhiwani Kikwete anaishi na nani humo?

Status
Not open for further replies.
jamani haya ni kweli hizi pesa zote kazitoa wapi wakati watanzania wanakufa na njaa mungu wangu

2qiz778.jpg

Mbona hiyo nyumba haionekani kama ni ya 4 billion. Unataka kusema hii nyumba ni sawa na nyumba mbili za Dr. Ndullu wa BOT tuliyoilalamikia humu? I doubt!!

Nafikiri kuna valuation problem TZ!!! Watu wanavaluate kwa macho!!
 
Pasco,
I honestly agree with with u. Nyumba ya bilion 4 si mchezo ati, huyu mleta mada kiukweli ni mzushi, anahitaji kutushawishi zaidi. Personally Ridhwan mwenyewe mimi zaidi ya kujua ni mtoto wa JK, simjui zaid ya hapo. Hebu tuache cheap gossips tu discuss issues bwana.
 
Wakuu, alichokileta mkuu Chomete hapa jamvini ni kweli ila kakosa baadhi ya facts. Ila ni vyema tujue;
1. Ridhwani hafanyi kazi IMMMA ameshajiuzulu rasmi, muda sasa.
2. Hivi sasa hana ajira rasmi
3. Mshahara wake IMMMA hauwezi kumsaidia kununua hata nyumba ya milioni 400
Hizi ni facts. Kuhusu location ya nyumba - iko Masaki na transaction inaonekana kuwa kweli ni bilioni 4, ila wahusika wamefanya dili hii kwa usiri mkubwa, na haiwezi kujulikana kama mkataba rasmi utaonyesha kiasi gani..
Labda museme mkuu Chomete aendelee kukusanya data si kumtukana na kumkejeli, au kusema thread ifutwe. Asanteni
 
Baba yake yuko kwenye shughuli tokea kale, na mwanawe keshakuwa mtu mzima sidhani kama ni suala la yeye kazitoa wapi? labda kapewa urithi na baba yake? sidhani kama kuna mtu ambaye anapenda mwanawe aishi kupitia maisha magumu au njia uliyopitia yeye ambayo anailaumu sikuzote... tujadili mengine ya nyumba hayo unaweza kukuta hata ndio zawadi kwa kumsaidia kwenye uchaguzi kitu bwana.... MWANANGU TULIKUKURUKA NA KAMPENI MNO HEBU KAPUMZIKE UKIWA BADO MDOGO...
 
fredpion: argument yako ingekuwa na maana sana kama ungeeleza JK alitangaza anamali zipi zenye thamani kiasi gani! Naamini hajatangaza kuwa na hata billioni moja, hivyo kusema billioni nne watu wasiulize, sidhani kama unaelewa unachosema maana basi hata billioni moja ya Chenge isingemvua uawaziri! lets look btn the lines, we want more facts je kuna showdy deals zinamhusu Riz1 na zinaunganishwa vipi na mali ya umma au matumizi mabaya ya madaraka ya baba yake?
 
Yawezekana amepanga. Sichangii hoja za hewani ambazo hazijitosherezi. Kama hauwezi kupanga nyumba nzuri usifikiri wote hawawezi. Ila kama amejenga, hapo tuanze hoja.
 
Wakuu, alichokileta mkuu Chomete hapa jamvini ni kweli ila kakosa baadhi ya facts. Ila ni vyema tujue;
1. Ridhwani hafanyi kazi IMMMA ameshajiuzulu rasmi, muda sasa.
2. Hivi sasa hana ajira rasmi
3. Mshahara wake IMMMA hauwezi kumsaidia kununua hata nyumba ya milioni 400
Hizi ni facts. Kuhusu location ya nyumba - iko Masaki na transaction inaonekana kuwa kweli ni bilioni 4, ila wahusika wamefanya dili hii kwa usiri mkubwa, na haiwezi kujulikana kama mkataba rasmi utaonyesha kiasi gani..
Labda museme mkuu Chomete aendelee kukusanya data si kumtukana na kumkejeli, au kusema thread ifutwe. Asanteni

Hiyo nyumba ya billion nne inakaaje?

Mkataba wake ni pamoja na RE, interior furnishing ikiwa ni pamoja na home electronic gadgets na security systems au?
 
Kama kweli ni ya kwke basi ni mwizi. Jamaa kamaliza chuo miaka sawa na urais wa baba yake, so kama yeye hakuiba basi baba yake kafanya madudu kwa niaba yake
 
Huyo aliyelipa bil 4 kwenye mboksi kama huo kwenye picha anatakiwa achekiwe akili.
 
Nakubaliana na wewe..
hio nyumba haiko Tanzania..Kwa haraka haraka itakua nje ya nchi kwenye maeneo ya baridi (sio iringa wala mbeya). Ukiangalia maezeko yake..ni kama yale yatumiwayo marekani, UK na Europe kwa ujumla..pia mbele kuna hilo post la either simu ama cable internet na kwa hapa tanzania hayo ya namna hio hatunayo. sasa sijui mleta mada katoa wapi hii picha ama alikua anataka kujifurahisha tuu..atueleze.

du ongeza data mkuu nyumba ipo mtaa gani maana mm naona ni coters (nyumba zilizojengwa kwa mpangiliofulani tazama hiyo ya jirani kulia kwake)
halafu mandhari km Arusha au South Africa
mwaga data zaidi naenda huko sasa hivi
 
I always hestate to comment on hear say issue so unless sm1 has enough data we have nothng to discuss because nothing will become an object of talk unless it exist.
 
picha haina maelezo ya kutosha, usikute umepiga picha masaki kwa wenye fedha zao na kuja kuitundika hapa kwa kisingizio ni ya Ridhwan
 
jamani haya ni kweli hizi pesa zote kazitoa wapi wakati watanzania wanakufa na njaa mungu wangu

2qiz778.jpg

...kuna michango mingine ya wana JF inanisikitisha sana wakuu.
"tuseme" ndio RIZ1 anamiliki nyumba hii, ...ni jambo la kushangaza?

"living within your means lacks imagination!" Tutabakia kulaumu 'umasikini wetu
unasababishwa na serikali,' kumbe ni uvivu wetu tu wa kufikiri.

"Ndivyo tulivyo!"
 
Nakubaliana na wewe..
hio nyumba haiko Tanzania..Kwa haraka haraka itakua nje ya nchi kwenye maeneo ya baridi (sio iringa wala mbeya). Ukiangalia maezeko yake..ni kama yale yatumiwayo marekani, UK na Europe kwa ujumla..pia mbele kuna hilo post la either simu ama cable internet na kwa hapa tanzania hayo ya namna hio hatunayo. sasa sijui mleta mada katoa wapi hii picha ama alikua anataka kujifurahisha tuu..atueleze.

...inawezekanabana bana, hujaona zinavyofanana na zile za Kisota Homes (Kisota Homes).
Watu walipokuwa wanachangamkia kuzinunua kwa mikopo, wengine walikuwa bado wanavuta shuka kwa usingizi!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom