Nyumba ya Mbunge Kapteni John Komba yaungua moto

Nilifikiri ile ya Tangibovu kumbe ya Lituhi Mbamba Bay... wanaweza kusema ni hitilafu ya Umeme wakati hakuna hata Umeme huko Lituhi...
 
Ngoja,tunaziba pancha tairi la mbele kushoto,baada ya hapo tutaenda kuweka mafuta ili yatuwezeshe kufika mtoni kunyonya maji ya kuzimia moto,akhsante kwa kutupa taarifa!
 
Kweli watu wengine hapa jf wako negative mwanzo mwisho JF NI KUHABARISHANA YANAYOJIRI naamini zimamoto wa songea walitaarifiwa-pole mr komba.
 
Kuna habari kuwa nyumba ya Mbunge wa Mbinga Magharibi Kpt John Komba iliyopo Litui-Mbinga inaungua. Tafadhali kwa mwenye taarifa zaidi au aliyeko-
Source: Radio Wapo
Poleni. Nadhani nyumba hiyo ndiyo yenye hoteli na guest kubwa na nzuri kuliko zote Lituhi.
 
Ngoja,tunaziba pancha tairi la mbele kushoto,baada ya hapo tutaenda kuweka mafuta ili yatuwezeshe kufika mtoni kunyonya maji ya kuzimia moto,akhsante kwa kutupa taarifa!
ukingatia kituo cha mafuta kuna foleni siku hizi yani wewe utaenda kuzima majivu
 
Kwa kifupi japo mi si mkaazi wa huko mbinga lakini simfagilii hata chembe.Juzi juzi tu nimesikia baadhi ya wana-mbinga wakilalamika kwamba serikali imewasahau kiasi kwamba wanajiuliza wao wako Malawi au Tanzania!
 
Duh pole! Ila umeshapata reason ya kulala mjengon! A house z not a home no more! pigania posho mpaka mwisho ukadondoshe mjengo mwingine! Othrwise nyumba za kupanga hutopiga disco le2 la iyena iyena...
 
Bado haijamalizilka Hiyo Nyumba? Magamba watamjengea nyingine au wampe siti ya Bunge alale kabsaaa. Akiwa Ndani au Nje ya bunge hana faida yoyote kwa Watanzania ni sawa na Kikwete hakuna aliye na Afadhali huko Magamba wote wapo kwa Maslai yao.
 
Back
Top Bottom