Nyumba ya Mbunge Kapteni John Komba yaungua moto

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
May 23, 2008
1,932
985
Kuna habari kuwa nyumba ya Mbunge wa Mbinga Magharibi Kpt John Komba iliyopo Litui-Mbinga inaungua. Tafadhali kwa mwenye taarifa zaidi au aliyeko-site.<br />
<br />
Source: Radio Wapo
 
Pigia fire brigade jukwaani haitamsaidia
<br />
<br />
Niko mbali na huko naami majirani wamefanya hilo. Tena nimekupa-source si kwamba niko site. Kujua kama ni kweli inaungua ni zaidi ya kujua nyumba ya mtanzania wa huku kitaa inaungua. Si kwasababu yeye ni mbunge.
 
Zimamoto toka Songea wamejulishwa, umbali wa 90 km hadi kufika Litui. Barabara ni mchanganyiko, kuna sehemu kuna lami na sehemu ni vumbi/kifusi.
 
pole sana mh. komba, bila shaka Mungu atakujaalia upate nyingine

Jina la Bwana lihimidiwe!
 
Jamaa kaleta tetesi halafu anaomba mwenye taarifa... Mnyamahodzo never stops to amaze me
 
Poleni Sana vipi nini chanzo cha moto...., hopefully hakuna alieumia; na tangia utoe habari hopefully wameshazima moto
 
Back
Top Bottom