Nyumba ya kununua inahitajika haraka

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Nyumba ya kununua inahitajika haraka kwa ajili ya kununuliwa. Iwe maeneo ya Kijitonyama au eneo la kinondoni. Kiwanja chake kiwe na Hati miliki(Tittle Deed), Bei isizidi 100mil. Na ikiwa kuna kiwanja bei yake isizidi 80mil.
Nyumba hii au kiwanja kinahitajika kwa ajili ya matumizi ya kiofisi hivyo kiwe eneo ambalo itakuwa rahisi kumuelekeza mtu afike bila usumbufu.
Na kisiwe katika mitaa ambayo ina msongamano wa familia nyingi.
Mawasiliano. 0717114409 au 0755312233
 
Back
Top Bottom