Nyumba ndogo inaharibu familia

Mazee... nimeikosaje hiyo gedharing???

Hebu naomba mwaliko mazee, nije mwenyewe au na bimkubwa??

We njoo naye tu binamu. Ila ujue wapwa kina fidel, masa, nguli nk watakuwepo, tena peke yao. Na ndovu, serengeti, taska na maji ya dasani nayo yatakuwepo. Hahahaha! Ngoja nijaribu kukutafutia kadi ya mwaliko.
 
yap G Mzee hakutakiwa mpaka dogo ajue,lakini inabidi ifike mahali wanaume tujizuie kudanganya,manake madogo wataumia incase ndoa ikizama
 
mie jamani mbona sielewi huyu mama kupumbazwa au ni nini? cpati pic kabisa, mie nahcgi kuna cku nitamfunika m2 na mto ajifie taratibu, ni nini hiki?
nimecheka yani, eti na mto, aah mto dont give him a pleasure ya kwenda jela uache wanao wanahangaika, yani unachukua sumu wanayotumiaga usalama, yani anakufa taratibu anakuacha uishi kwa amani na hakuna mtu atajua hahaaaaaa (joke). Mi simuui kwa nini nipate dhambi, ni kuanza mbele tu mapemaaaaa.
 
We njoo naye tu binamu. Ila ujue wapwa kina fidel, masa, nguli nk watakuwepo, tena peke yao. Na ndovu, serengeti, taska na maji ya dasani nayo yatakuwepo. Hahahaha! Ngoja nijaribu kukutafutia kadi ya mwaliko.

Chriss mbona una uybaguzi? Inafanyika wapi hiyo mie ntakuja hata bila mwaliko.

BTW.
Huyu baba anatakiwa kufikiria matendo yake na imp[act yake kwa huyo mtoto anayemexpose kwayo.
 
We njoo naye tu binamu. Ila ujue wapwa kina fidel, masa, nguli nk watakuwepo, tena peke yao. Na ndovu, serengeti, taska na maji ya dasani nayo yatakuwepo. Hahahaha! Ngoja nijaribu kukutafutia kadi ya mwaliko.
eneo la tukio mzee, juithi dhitakuwepo?
 
nyamayao nilifikiriaga wangu tu ndo alitokaga sayari ya pekee kumbe wapo wengi ila huyu naona kazidi si bure kuna kinachompa jeuri au anajua kuwa mama hana guts za kummwaga?? Auze vitu??!

MJ1 hii ni kali, hapana, mie naona kama muujiza! hata kama angeuza hivyo vitu nikiwa nipo ofcn ningerudi haki ya nani angevirudisha au laaa ndio tujue sasa tunafikirianaje, nahic yeye atakuwa ameshajigaia mali sasa aniache mie niendelee na lyfe na vilivyobakia...heeee
 
Back
Top Bottom