Nyumba ndogo inaharibu familia

hahahahhaa,MJI acha hasira bwana!.unataka kuniambia huyo mume kabadilika ukubwani? wengi wanakuwa na tabia hizo toka wakiwa bado wachumba lakini yale mambo ya love is blind ndio tatizo.Mtu anakubali kuingia kwenye ndoa akidhani anaweza kumbadilisha mtu lakini yanamshinda,sasa hapo inabidi avumilie tu.

mkiwa uchumbani hakuna anaeonyesha makucha yake kihivi, mkiingia ndani ndio ngoma inaanzia hapo, utayaona ucyoyatarajia...kama mtu alishaona matatizo kwa mchumba wake then akaingia kwenye ndoa kwa kusema nitambadilisha huyo hayupo sahihi, watu hawabadilishiki tabia kirahc, lakini kwa upande wa huyu mama hatujui aliingiaje kwenye ndoa kwa mpango wa kumbadilisha au kwa mapenzi matamu/makamilifu.
 
naomba vifungu!nimeshaipata biblia hapa
ha haha haaaaaaaa, mchungaji mzima hujui vifungu lol! Anyway dada katika bwana ZD najua atakusaidia. Na baba askofu masanilo yuko wapi? na Xpin mzee wa maombi je kaishia wapi, Nguli je? jana niliona mlivyomuombea Bluray kule nahisi hadi sasa tayari katubu na kuokoka.
 
hehehe!umetoka nje ya maada mkuu!:D

jana ulliniona nilivyokemea pepo?
 
mkiwa uchumbani hakuna anaeonyesha makucha yake kihivi, mkiingia ndani ndio ngoma inaanzia hapo, utayaona ucyoyatarajia...kama mtu alishaona matatizo kwa mchumba wake then akaingia kwenye ndoa kwa kusema nitambadilisha huyo hayupo sahihi, watu hawabadilishiki tabia kirahc, lakini kwa upande wa huyu mama hatujui aliingiaje kwenye ndoa kwa mpango wa kumbadilisha au kwa mapenzi matamu/makamilifu.

Navyojua mimi they loved each other according to her, na kwamba the guy alibadili dini ukatoriki kwenda uislam akafunga ndoa na bibie. lakini baadae akarudi ukatolikini, na wanae wote ni wakatoliki nadhani walifunga tena ndoa ya kikatoliki ndo maana she is able to consult baba padre but she is still a muslim seriously. aah., hata sielewi yani.
 
Nyumba ndogo zinaleta heshima ndani ya ndoa mnajua wadada wakisha olewa wanajisahau mno.
 
hehehe!umetoka nje ya maada mkuu!:D

jana ulliniona nilivyokemea pepo?
Du mnatisha kwa maombi, yani hata shetani mwenyewe anakimbia. Sasa muombee na Manajamii1 anaumwa kichwa. BTW pole mwanajamii.
 
naomba vifungu!nimeshaipata biblia hapa

Matthew 5:32
But I tell you that anyone who divorces his wife, except for marital unfaithfulness, causes her to become an adulteress, and anyone who marries the divorced woman commits adultery

Utofauti wa maoni juu ya talaka na kuoa tena unatokana na maneno ya Yesu katika Mathayo 5:32 na 19:9. “isipokuwa kwa habari za uasherati” ndicho kipengele peke yake ambacho Mungu anatoa ruhusa ya talaka na kuoa tena katika maandiko. Wengi hutafsiri maneno haya kuwa ni kile kitendo cha zinaa kinachofanyika baada ya kuolewa.
 
Du mnatisha kwa maombi, yani hata shetani mwenyewe anakimbia. Sasa muombee na Mwanajamii1 anaumwa kichwa. BTW pole mwanajamii.

Carmel aksante hakiumi ila hakiko sawa tu najihisi hasira na hizi mada za unyanyasaji.
 
Nyumba ndogo zinaleta heshima ndani ya ndoa mnajua wadada wakisha olewa wanajisahau mno.
Kwa huyu kujisahau no, sijui mambo ya chumbani lakini kwa general housekeeping, heshima kwa mumewe yani hata mi sikaribii. so hata chumbani kama kapunguza manjonjo its understandable maana she is near monoupouse so anatakiwa amuelewe. Halafu si bora hata angefanya kwa siri, tunajua most men have affairs lakini kwa heshima, si namna hii. hii ni dharau kabisa. ni kama unafukuzwa bila kuambiwa toka.
 
Carmel aksante hakiumi ila hakiko sawa tu najihisi hasira na hizi mada za unyanyasaji.
pole mydear, si unajua tena inabidi tukitaka kuja hapa ukumbini tuwe na uwezo wa stress management maana unaweza pata stress hapa hapa
 
Anasema kuna siku jamaa karudi kampa 2m azitunze home (within hiyo time anayolala nje) msela kazuga zuga hapoo, mida yake ya kutoka kama kawa saa nne hivi anaziomba zile pesa, mama akatia ngumu. jamaa kacharuka akataka kumpa kichapo ikabidi mama atoe mshiko fasta, jamaa akala kona for the rest of the night till morning. Mbaya zaidi she is also working very hard for that company they have, she is doing all the secretarial work and all follow ups, she is risking her job coz she does all those at the workplace, using workplace facilities and time in order to build her family's income but then anaekula faida nyumba ndogo, dunia ina mambo jamani.

ndoa zickiwwe tu zina mambo ya kila aina, huyu mie nadhani mmoja wetu kati ya mie au yeye tungeachiana kilema cha maisha, hivi ni nini hiki jamani.
 
Pole mpiganaji!! Kichwa vipi tena? unammiss mzee nini?

Aksante sana MTM hapana niko fit ila tu nadhani nimeadhirika kisaikolojia nashikwa na hasira sana ninaposikia visa vya wanandoa. Hapo kwa mzee sina comment!
 
Matthew 5:32
But I tell you that anyone who divorces his wife, except for marital unfaithfulness, causes her to become an adulteress, and anyone who marries the divorced woman commits adultery

Utofauti wa maoni juu ya talaka na kuoa tena unatokana na maneno ya Yesu katika Mathayo 5:32 na 19:9. “isipokuwa kwa habari za uasherati” ndicho kipengele peke yake ambacho Mungu anatoa ruhusa ya talaka na kuoa tena katika maandiko. Wengi hutafsiri maneno haya kuwa ni kile kitendo cha zinaa kinachofanyika baada ya kuolewa.
Hapa ukumbini watu mnatisha, du. haya sasa Geof kifungu hiko apo.
 
ndoa zickiwwe tu zina mambo ya kila aina, huyu mie nadhani mmoja wetu kati ya mie au yeye tungeachiana kilema cha maisha, hivi ni nini hiki jamani.
Same to me. yani upuuzi afanye yeye, halafu kipigo nje nje nipate mie, hata nisingekubali. can you imagine watu wazima mna watoto wa 20... years, bado mnapigana.
 
Matthew 5:32
But I tell you that anyone who divorces his wife, except for marital unfaithfulness, causes her to become an adulteress, and anyone who marries the divorced woman commits adultery

Utofauti wa maoni juu ya talaka na kuoa tena unatokana na maneno ya Yesu katika Mathayo 5:32 na 19:9. “isipokuwa kwa habari za uasherati” ndicho kipengele peke yake ambacho Mungu anatoa ruhusa ya talaka na kuoa tena katika maandiko. Wengi hutafsiri maneno haya kuwa ni kile kitendo cha zinaa kinachofanyika baada ya kuolewa.

Asante MJ1,Umeniokoa maana Geoff alinibana na hivyo vifungu.
 
Kwa huyu kujisahau no, sijui mambo ya chumbani lakini kwa general housekeeping, heshima kwa mumewe yani hata mi sikaribii. so hata chumbani kama kapunguza manjonjo its understandable maana she is near monoupouse so anatakiwa amuelewe. Halafu si bora hata angefanya kwa siri, tunajua most men have affairs lakini kwa heshima, si namna hii. hii ni dharau kabisa. ni kama unafukuzwa bila kuambiwa toka.

frnd wangu aliondokaga kwa mume kwa mambo kama haya haya, mwanaume akajipa moyo cmfati atarudi mwenyewe tu, mdada na katoto kake 1 akaenda kuishi kwa mamake, baada ya miezi kadhaa kapata boyfrnd, hakukaa sawa boyfrnd akamshauri wakaanze maisha yao mapya huko kwao canada, mume kushtuka anaenda kwa mama mkwe wake eti kutaka mkewe arudi nyumbani anaambiwa mkeo kaolewa na anaishi canada,aalibaki ameduwaaa, hana chake c mtoto wala mke......
 
Pia anasema kuna kipindi miaka ya nyuma kidogo alipata hivyo hivyo nyumba ndogo akazamia hadi akauza kila kitu ndani, gari, friji, redio, tv, akabaki kama mjinga, na kwa kuwa ni proud akawa hapandi daladala anakodi taxi anakuja hadi home, kulipa hawezi anamwambia taxi drever arudi kesho yake kuchukua pesa, wanaishia kujibizana hapo getini hadi wanampeleka polisi, inabidi mama atoe pesa yake alipe ndo kelele ziishe,. kwa kuwa mama alikuwa ana kazi ikabidi ndo awe analisha familia. hadi alipoinuka tena kibiashara ndo akanunua tena vitu na kuwa kwenye standard, so kaanza tena kutafuta mtu wa kuzitumia.
Mimi namsifu huyu mama kwa uvumilivu wa kijinga, mimi nisingetoa pesa yangu kisa kapelekwa polisi, angelala huko hadi aliwe tigo ndo apate adabu.
 
Aksante sana MTM hapana niko fit ila tu nadhani nimeadhirika kisaikolojia nashikwa na hasira sana ninaposikia visa vya wanandoa.

Ni hivi visa ndivyo vifanyavyo ndoa kuwa spesho!!! we imagine, kama ndoa isingekuwa na wizu au expectations ingekuwaje?? very dull and boring... I like these discussions maana huwa zinanipa moyo kwamba i am not alone

Hapo kwa mzee sina comment!

hahaa aaahhhh:D:D You miss him ehh!!?? pata shower ya maji ya moto!!!
 
Back
Top Bottom