Nyumba ndogo inaharibu familia

Nikipata wide loaded nitatulia lakini nikipata kimbau mbau kama wewe nyumba ndogo muhimu.
nitake radhi fidel, mi si kimbaumbau wewe, mama na baba hapa walifanya shughuli ya ziada:D
 
Wazima kbsa wanakusalimu sana. Naona leo unasaidia kuimarisha ndoa ya mshikaji wako.
kama kawaida, naendelea kujifanya counselor wa kujitegemea.
Hivi mnadhani tukianzisha councelling center ya marriages hatutafanikiwa?
maana kuna wachungaji kama kina xpin, wanamaombi kama kina ZD na Geof, waliocharuka kama kina nyamayao, wenye busara kama nguli na mwanajamii, na wapole kama FL. center itatisha jamani ama?
 
Kwa upande mwingine wakina mama nao wana matatizo sana.Inawezekana huyu mama ni mkorofi kiasi cha mume wake ili kuondoa kero,inanabidi ashinde casino,na kukaa casino lazima apate mwanamke mwingine mwindaji kwani wako wengi.
Lakini suluhu ya yote hayo ni kumrudia Mungu wetu na kumtumikia.
 
Hahaha! Najaribu kupiga picha ukiwa ndani ya bajaji. Ni-PM kama utahudhuria basi hiyo sande!
Yani imebidi umalizie kwa kusisitiza mwaliko ili tu uone nilivyo wide load? bajaji sipandi maana naweza kusababisha ajali maana uzito wangu bajaji haiumudu. haaa
 
Yani imebidi umalizie kwa kusisitiza mwaliko ili tu uone nilivyo wide load? bajaji sipandi maana naweza kusababisha ajali maana uzito wangu bajaji haiumudu. haaa

Yeah watu kama nyinyi tunawaita mapipa na shapeless
 
kama kawaida, naendelea kujifanya counselor wa kujitegemea.
Hivi mnadhani tukianzisha councelling center ya marriages hatutafanikiwa?
maana kuna wachungaji kama kina xpin, wanamaombi kama kina ZD na Geof, waliocharuka kama kina nyamayao, wenye busara kama nguli na mwanajamii, na wapole kama FL. center itatisha jamani ama?
mimi kazi yangu ni KUOMBA NA KUSHUKURU KATIKA JINA LA YULE ALIYE JUU!pembeni ama kawaida shemeji yangu zd..!

nyuma ya kanisa mchungaji xpin anaungamisha watu!:D
 
Kwa upande mwingine wakina mama nao wana matatizo sana.Inawezekana huyu mama ni mkorofi kiasi cha mume wake ili kuondoa kero,inanabidi ashinde casino,na kukaa casino lazima apate mwanamke mwingine mwindaji kwani wako wengi.
Lakini suluhu ya yote hayo ni kumrudia Mungu wetu na kumtumikia.
Thanks Mayolela. Si kweli kwamba huyu mama ana tabia mbaya,. si kweli. wenye tabia mbaya tunawajua but this is a sopecial case, yani kusema ukweli kati ya wanawake wenye tabia nzuri, heshima, na kila ukipendacho kwa mwanamke huyu yumo, na hata katika age yote aliyonayo fourty something, you wouldnt know kama ameenda age, she is pretty at her age, basi tu huyu jamaa hajui alichonacho, alitakiwa aoe mtu kama mrs Mtaba hivi ndo wangeenda sawa.
 
Hahahaha ila kwakula inabidi sande usije utamaliza msosi wote wewe manyama nyama tuliyo agiza pale maana tumefanya booking ya kufa mtu.
sasa kama ni ya kufa mtu mbona tena una mashaka na mimi kumaliza? aah acha uchoyo fidel, mimi mwenyewe nakula kilo moja ya kiti moto namaliza. so msinibanie.
 
hapo juu mnatupotezea mtiririko wa thread jamani
Ni kweli Nyamayao, veery sorry. Turudi kwenye mada jamani,, ushauri unahitajika sana. yani tuzame kama siku ile kwa mshikaji tuokoe jahazi.
Thanks nyamayao
 
Back
Top Bottom