'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

ni kweli kabsa hakuna mkamilifu kila mtu ana mapungufu yake sa kwa wanaume hawajui kwamba na wao wana mapungufu yao ila tunawavumilia ila ikija kwetu tumeteleza kidogo basi wanapata sababu ya kutoka na wengine ni uheke wao ata umfanyie kila kitu bado atatoka
 
Binafsi sitaki kuamini kuwa mtu mwenye akili timamu anaweza kumsababishia mtu mwingine tena mwenye akili timamu kufanya jambo la hovyo tena asilolipenda.Kama unaona mkeo kabadilika ukifuata ujinga wake na kuwa wa hovyo kama yeye,wewe ni wa hovyo zaidi,mtu asiyeweza kujiongoza hafai hata kidogo.Binadamu mwenye ufahamu na utimamu wa kutosha haamuliwi ya kufanya na jamii,mwenza au mazingira,huamua mwenyewd
 
Wanaume wengi wanaojikuta wameangukia ktk nyumba ndogo,tena wakaishi na amani sana huko zaidi ya nyumba kubwa nadhani wanawake wa nyumba kubwa mnahusika kwa kumsababishia mume kutafuta kajumba kadogo, haya dada zangu nambieni ni kweli? Msije mkaanza kuniambia eti ooh! Wanaume wanatamaa,mie naamini sio tamaa ila kuna tu cheche twa mapenzi ya zamani mmetupunguza ati! Zamani neno honey,baby,dear, na mengine kibao yalikua yapo katika ncha ya ulimi,ukipita utasikia honey,uone gari utasema kama la sweet wangu,ukijikwaa utasikia ooh! My love kanisema huko aliko.lakini baadae yoooote mnayafuta,nyie Nyumba kubwa ndio mnasababisha mume awe na bi mdogo.
Slave sikubaliane na wewe kuwa nyumba ndogo ni matokeo ya nyumba kubwa kupwaya katika wajibu. Nachoweza kusema masuala ya ndoa ya mke mmoja yameletwa na dini na kamwe si utaratibu wa Waafrika kuwa na mke mmoja. Mimi babu yangu mzaa baba alikuwa na wake wawili; babu mza mama alikuwa na wake wawili, mzee wa jirani upande wa mashariki alikuwa na wake watatu, mzee wa jirani kusini alikuwa na wake wanne; mzee wa jirani kusini magharibi alikuwa na wake watatu; mzee wa jirani magharibu alikuwa na wake wanne.........hao wote niliwowataja hapo kabla wenginge walikuwa waislamu na wengine wapagani. Baada ya ukristu kuingia hao wazee walilazimishwa kutekeleza nyumba nyingine na kubaki na nyumba moja kama mke wa ndoa; vijana wa sasa hawatakiwi kuangalia pembeni zaidi wa mke wake mmoja
 
Last edited by a moderator:
nyumba ndogo ni matokeo ya uzinzi na umalaya tu wa wanaume......

Kama ups n downs za mahusiano wote wanawake na wanaume yaani mke na mume hupitia ila mke anastick kujenga ndoa wanaume kwa tamaa zao hutoka nje......
sema wewe kiazi!mie mhogo nina mzizi!
 
ubazazi tu wa mwanadamu!kazi ya kuboresha ndoa si ya mwanamke peke yake!
kabla hujaenda nyumba ndogo jiulize umefanya mangapi kuifanya ndoa yako iwe mpya!
we mwanaume tu ubaki na likitambi lako mchakato wa kueleweka hutoi,.hutoi pesa ya kumpendezesha huyo mke,dada zako wanamkera mkeo na uchimvi kila uchao,huna mawasiliano sahihi na mkeo kila siku maagizo tu ka yuko na babake mzazi au mkwewe,umemzalisha mkeo watoto kama kumbi kumbi,pesa ya matumizi unahesabia kweny mfuko,humuamini mkeo,hujali jitihada zake,humkuzi kifikra ili ajiamini unapata wapi guts za kusema nyumba kubwa imekusababishia nyumba ndogo?!JUSTIFICATION TU HIZO!

safi sana nimependa,lakini vipi kama huyu mwanaume anafanya yote hayo,! Kuna tabia nyingi tu ambazo zinaweza kuwa kikwazo mfano umenunua nguo nzuri nguo ambao mwanaume ungependa kumuona mkeo kavaa unakuja nyumbani ukiwa na furaha tele ukitegemea kupongezwa mbadala wake anakuambia hii nayo ni nguo? Bora hiyo pesa ungenipa nikaenda kununulia pombe! Embu fikiria wewe kama mwanaume utakuwa ktk hali gani? Haya mie hapo kwa upande wa kuwatetea wanawake nimekusoma embu eleza sasa na upande wa pili.
 
ni kweli kabsa hakuna mkamilifu kila mtu ana mapungufu yake sa kwa wanaume hawajui kwamba na wao wana mapungufu yao ila tunawavumilia ila ikija kwetu tumeteleza kidogo basi wanapata sababu ya kutoka na wengine ni uheke wao ata umfanyie kila kitu bado atatoka

asante,ila hili la haki za wanawake nalo limewafanya wanaume kuwaogopa wanawake
 
Hakuna topic ngumu humu JF kama ya "Nyumba ndogo"... It is a very complicated issue...
 
Hamna lolote! Haya mambo haya FORMULA WALA BIBI YAKE KANUNI. Likikukumba limekukumba! Unalo bibi! Unaweza kuwa mke mwema unampa mumeo death of cocroach daily kutwa mara 3, akakinai akenda kwa small house kupata vitu vya Blackbery na Fungua Dirisha Nikudake!!! Mpo Hapo? Unaweza kuwa mtiifu kitandani akaenda kupata dirty talk mwanzo mwisho!!!! Kubwa kuliko NYUMBA NDOGO SIKU HIZI WANALOGAAA SANAAAA! Juzi niliingia ofisini kwa bosi kubwa Saa 12, ili nichunguli ajenda za kikao kwenye diary yake (Dont start judging! It aint ya business) HAMAD!!! Nikamkuta shosti (Nyumba Ndogo! ya ofisini) ANAMWAGA UNGA UNGA kwenye kona, na chini ya meza, huku anaimba vitu gani sijui!Alivoniona ..............MSTAKE KUJUA SANAAA ILIVOISHIA!!! Sasa we Big House Utapona mbele ya ndumba?
 
Ki ukweli kuna baadhi ya ndoa ambazo vituko na mwenendo wa mke ndani ya ndoa unachangia kwa kiasi kikubwa mwanaume kutafuta nyumba ndogo kwa minajri ya kujiburudisha. Kwa mfano kuna wale wadada wanaotumia kigezo cha kumnyima unyumba mumewe hata kwa miezi 3 kwa sababu ndogo tu ya kutofautiana kauli au misimamo. Kuna wale wengine unakuta haongei na mume, kila kitu anafanya kwa vitendo au kumtuma housegel, kuna wengine nyumbani ni ukali tu na kupayuka nk unafikiri mwanaume gani ataweza kuvumilia?

Ila nakubali pia wamo wanaume ambao wanatabia za kuwa na nyumba ndogo hata kama mke atajitahidi vipi! Hawa kwa kweli wanahitaji maombi, LOL!

asante dear hapo umeua kila kitu.kwa kuongezea tu hapo mwanaume inafikia hatua anapaogopa nyumbani kwake anavizia wamelala ndo anaingia,anaanza kupekua jikoni chakula,anajitengea,anaenda kuchota maji ya kuoga nk.maisha kama haya mie nimeyaona kwa baadhi ya watu,na ukianza kudai ufanyiwe hayo ambayo wewe unadhani ni haki yako ndo hapo utakapo zua ugomvi utakao pelekea pengine kufikishana mahakamani na huko ndipo litakapo kuja lile la haki sawa kwa wote kwamba hata wewe mwanaume unatakiwa kufanya yale ambayo mke huyafanya,hapo tu huwa najiuliza mengi sana na huwa naogopa mno maana itafikia hatua ya wanaume kufanyiwa upasuaji ili na mwanaume nae abebe ujauzito kwakuwa ni haki sawa.
 
Hamna lolote! Haya mambo haya FORMULA WALA BIBI YAKE KANUNI. Likikukumba limekukumba! Unalo bibi! Unaweza kuwa mke mwema unampa mumeo death of cocroach daily kutwa mara 3, akakinai akenda kwa small house kupata vitu vya Blackbery na Fungua Dirisha Nikudake!!! Mpo Hapo? Unaweza kuwa mtiifu kitandani akaenda kupata dirty talk mwanzo mwisho!!!! Kubwa kuliko NYUMBA NDOGO SIKU HIZI WANALOGAAA SANAAAA! Juzi niliingia ofisini kwa bosi kubwa Saa 12, ili nichunguli ajenda za kikao kwenye diary yake (Dont start judging! It aint ya business) HAMAD!!! Nikamkuta shosti (Nyumba Ndogo! ya ofisini) ANAMWAGA UNGA UNGA kwenye kona, na chini ya meza, huku anaimba vitu gani sijui!Alivoniona ..............MSTAKE KUJUA SANAAA ILIVOISHIA!!! Sasa we Big House Utapona mbele ya ndumba?

duh! Jf kiboko,kumbe na ndumba huwa wanatumia?mweh!
 
Wewe mtumwa weweeeee!
Weweeeeee!
Weweeeeee!
Haya, mie nakuangalia tu!

dada yangu,acha kunipiga mkwala,mie hapa napata somo bana la kuishi na wifi yako maana nyie ma dada ndio mnasemwa sana kuwa huwa mnavunja ndoa za kaka zenu.
 
pamoja na ukweli huo ila pia na kamzizi kanatumika kuwavuta wanaume kuingia katika nyumba ndogo
 
Hamna lolote! Haya mambo haya FORMULA WALA BIBI YAKE KANUNI. Likikukumba limekukumba! Unalo bibi! Unaweza kuwa mke mwema unampa mumeo death of cocroach daily kutwa mara 3, akakinai akenda kwa small house kupata vitu vya Blackbery na Fungua Dirisha Nikudake!!! Mpo Hapo? Unaweza kuwa mtiifu kitandani akaenda kupata dirty talk mwanzo mwisho!!!! Kubwa kuliko NYUMBA NDOGO SIKU HIZI WANALOGAAA SANAAAA! Juzi niliingia ofisini kwa bosi kubwa Saa 12, ili nichunguli ajenda za kikao kwenye diary yake (Dont start judging! It aint ya business) HAMAD!!! Nikamkuta shosti (Nyumba Ndogo! ya ofisini) ANAMWAGA UNGA UNGA kwenye kona, na chini ya meza, huku anaimba vitu gani sijui!Alivoniona ..............MSTAKE KUJUA SANAAA ILIVOISHIA!!! Sasa we Big House Utapona mbele ya ndumba?

Ha haaa Lara1 sasa tutachaje kutaka kujua kilichojiri wakati ndio kwanza umetupa intro,lete habari bana tena uweke na picha kwa wale wasioelewa maandishi........
 
ubazazi tu wa mwanadamu!kazi ya kuboresha ndoa si ya mwanamke peke yake!
kabla hujaenda nyumba ndogo jiulize umefanya mangapi kuifanya ndoa yako iwe mpya!
we mwanaume tu ubaki na likitambi lako mchakato wa kueleweka hutoi,.hutoi pesa ya kumpendezesha huyo mke,dada zako wanamkera mkeo na uchimvi kila uchao,huna mawasiliano sahihi na mkeo kila siku maagizo tu ka yuko na babake mzazi au mkwewe,umemzalisha mkeo watoto kama kumbi kumbi,pesa ya matumizi unahesabia kweny mfuko,humuamini mkeo,hujali jitihada zake,humkuzi kifikra ili ajiamini unapata wapi guts za kusema nyumba kubwa imekusababishia nyumba ndogo?!JUSTIFICATION TU HIZO!

Kuna wengine vyote ulivyovitaja hawafanyiwi kwa maana ya kuwa wanajaliwa na kupewa huduma lakini wamekuwa wakorofi.
 
Nimeiona hii statement kwenye thread nyingine na nikaona yenyewe tu inatosha kuwa topic of discussion.

Hivi wivu ni kipimo cha mapenzi au kipimo cha imani kati ya wapenzi?

Kila mtu ana wivu hasa katika mapenzi lakini tunatofautiana kwenye namna tunavyoonyesha hizi hisia. Chukulia Mpenzi/mke wako anapotaka kwenda say kwenye birthday party ya rafiki yake na wewe hauna nafasi ya kwenda nae. Ni lazima utajisikia ka-feeling fulani hivi ka "anaenda kukutana na kina nani huko?","what if akalewa and others try to take advantage of her". Utamwacha aende peke yake au utamkataza?

Ukimwacha aende does it mean humpendi sana au unamwamini?
 
kama Mungu anao wivu........ basi nadhani nahisi ni kipimo cha mapenzi/ upendo........!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom