'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

Wivu lazma ila uwe na mipaka sio kila saa kumkataza mambo flani flani ambayo utamfanya ajutie kuingia mikononi mwako maisha yake yote.
 
Mume mmoja alikuwa analalamika kwamba mkewe hamtoshelezi ktk tendo la ndoa.Nikamuuliza kivipi? Akasema amekuwa akijamiiana nae mshindo mmoja yeye anpata orgasm mara mbili na wakati mwingine hata mara tatu.Sasa mke hamruhusu jamaa kwenda round ya pili na wanafanya mara 2 kwa week.Jamaa anasema kama atafanya round moja tu basi anakuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa kila siku.

Anaendelea kusema hisia za mdada ziko mbali kwani maandalizi yake bila kulamba critoris maji maji ya uke hayatoki.Pia siku zote kama hatamwambia kufanya basi wanaweza kumaliza hata week mbili.Na wakati mwingine akizidiwa na kuamua kumlazimisha wafanye, wakiwa ktk ya mechi utasikia anamwambia hukojoi?hebu kojoa yaani anaona ni kero.

Wanandoa hao wote ni wafanyakazi na wako busy sana.Nashindwa kuelewa ubisy wa kazi unaweza kuwa chanzo cha upungufu wa hisia? au ndivyo alivyoumbwa,?au ni jeuri na dharau?Au mdada hajitambui?

Kosa liko kwa kijana au Mdada?

Wito: Dada zetu mnaofanya kazi maofisini hasa wa Dsm kutokana na foleni na mambo mengineyo, kwa kuwa hampati muda wa kuwaandalia wenzi wenu chakula, na huduma zingine kwani nyingi wanafanya ma house girl.Basi jitumeni ktk tendo la ndoa vinginevyo nyumba ndogo ni ngumu kuzizuia.
 
wanaume kwa kujitengenezea sera ndo asili yao tangia mwanzo wa dunia
 
kuna mwingine huko nae hafikishwi na mumewe lakin hajaenda kwenye hizo nyumba ndogo sijui

SOME men are SO SELFISH,They are more interested in making themselves happy than making you happy...

all the while expecting you to take care of them when they are sick, cook for them when they are hungry,

sleep with them when they want sex....ETC and etc...they are full of EXCUSES
 
kweli kabisa mrembo hujakosea!!
 
Heaven on Earth umesahau kuna hausi geli pale nyumbani, nitamuambia akusaidie kazi veve..
 
kuna mwingine huko nae hafikishwi na mumewe lakin hajaenda kwenye hizo nyumba ndogo sijui

SOME men are SO SELFISH,They are more interested in making themselves happy than making you happy...

all the while expecting you to take care of them when they are sick, cook for them when they are hungry,

sleep with them when they want sex....ETC and etc...they are full of EXCUSES
yaani wanakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
 
kuna mwingine huko nae hafikishwi na mumewe lakin hajaenda kwenye hizo nyumba ndogo sijui

SOME men are SO SELFISH,They are more interested in making themselves happy than making you happy...

all the while expecting you to take care of them when they are sick, cook for them when they are hungry,

sleep with them when they want sex....ETC and etc...they are full of EXCUSES
i miss your previous avatar :))
 
kwa hiyo kwa kuwa mwanaume kashindwa kumsisimua mkewe kimahaba...

kashindwa kumnyegesha mkewe...

anakimbilia nyumba ndogo eeeh?

hii mpya, mwambie huyo mume, kuna wanaume wanaojua kunyegesha, watamsaidia.........yeye aendelee na nyumba ndogo
 
kuna mwingine huko nae hafikishwi na mumewe lakin hajaenda kwenye hizo nyumba ndogo sijui

SOME men are SO SELFISH,They are more interested in making themselves happy than making you happy...

all the while expecting you to take care of them when they are sick, cook for them when they are hungry,

sleep with them when they want sex....ETC and etc...they are full of EXCUSES

It's blasphemous to say this........its like blaming the one who CREATED them
 
haya mambo bhana

MAANDIKO yanasema??
Tamaa ya mwanaume itakuwa juu ya mwanamke, sasa kumbe kutaman kwa mwanaume ni ruksa lkn kutaman kwa mwanamke ndo dhambi.

ukichunguza kwa makini maandiko hayo hayo yakasema mwanaume atamwacha mamaye na babaye na kuambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja kumbe mwanaume ndie anayetoka kwao sio?? na kumbe mwanaume ndiye mwenye kutaman sio?

nirudi kwenye mada husika kumbe mwenye jukumu la kumtuliza mwanamke ni mwanaume na sisi hatukatai mwanaume kutaman lkn basi atimize majukumu yake ya ndani kwanza na kama akilijua hili utakuta hakya Mungu mwanamke mmoja anatosha sana wala haitaj kuongeza nyumba ndogo.

baada ya kusoma kwa makini baadhi ya vifungu vya maandikom matakatifu nilikuja gundua kwamba sihitaj sana kulaumu bali nahitaj zaid kudai haki yangu baasi sasa kama wewe waweza kunipa haki yangu vyema na ukamudu kuwa na nyumba ndogo ni sawa.

manake mambo mengine ni utash tuu
 
Back
Top Bottom