Habari wana JF! nyumba inauzwa ipo kiluvya gogoni kibaha, nyumba bado haijakamilika imebaki kupauliwa ina eneo la ukubwa wa nusu heka umbali kutoka kituo cha gogoni ni km 1, kwenye eneo la nyumba kuna michungwa 10 na migomba mingi eneo limezungushiwa fensi ya seng'eng'e nyumba imedizainiwa kisasa ina store, jiko, vyumba 3 master1 kubwa, diningroom, public toilet na bathroom, sebule kubwa maji na umeme vipo, gari linafika mpaka kwenye eneo bei ml 30 maongezi yapo contact 0714 107 215 au0714104788