Nyumba inauzwa

Kariba1

Member
Aug 20, 2012
75
4
Nyumba ya kisasa inauzwa, imekamilika yaani full [alminium, gypsum na tiles] ipo bunju ina garden, parking kubwa, vyumba 3 na master1 kubwa, studyroom, diningroom, sebule kubwa,jiko, public toilet, fensi na eneo kubwa la kujiachia, maji na umeme vipo bei yake ml 90 kwa anayehitaji contact 0714 107 215 au 0714 104 788
tafadhali piga usibeep
 

Attachments

  • IMG0021A.jpg
    IMG0021A.jpg
    13.2 KB · Views: 156
  • IMG0022A.jpg
    IMG0022A.jpg
    11.8 KB · Views: 124
Umepiga picha kwa Wizi nini Manake Kama vile ulijificha
 
sorry kwa matatizo ya picha nitazirekebisha! kuhusu bei inapungua mpaka ml 85 ukipenda kuiona nitafute kwa namba 0714107215 au 071410488
 
ooh! no si kwa wizi maana nilitumia kamera ya simu na nikapiga picha kwa mlalo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom