Nyumba inauzwa

Kariba1

Member
Aug 20, 2012
75
4
khabari wanajamii! kuna nyumba inauzwa bunju 'a' shule nyumba imekamilika iko full [tiles, gypsum] vyumba4 vya kulala na master1 kubwa, jiko, bafu, public toilet, store, sebule kubwa na diningroom, nyumba ipo umbali wa robo kilometre kutoka barabara iendayo bagamoyo bei yake ni ml 46. kwa mhitaji contact 0714 107 215 au 0714 104 788
 

Attachments

  • IMG0037A.jpg
    IMG0037A.jpg
    10.3 KB · Views: 74

Similar Discussions

Back
Top Bottom