Nyumba hii inakalika ?

Wito wa offer !

Offer lazima iangaliwe inatolewa na nani kwa manufaa yapi? Huyo bro kwenda kuishi kutamfanya apoteze sauti kwa mkewe mpaka atamdharau, je ikaja ikatokea mke wake wakakorofishana halafu mke akashtaki kwa baba yake si atasimangwa kaka yako?
 
Hilo ndiyo kubwa kupita yote !
 
Nimewahi kuishi ukweni, namshauri kaka yako asikubali labda kama yuko ridhaa kupoteza sauti kwa mkewe!
 
Mh! Hapo pagumu rafiki.
Yani ni bora aamue tu mwenyewe bro wako.
Yani km atakubali offer awe na sababu zake.
Na akikataa pia awe na sababu zake, ambazo zitakua za msingi kabisa.
Mana kila kitu kina advantage na disadvantage zake.
Kubwa kabisa ni vizuri akamuomba na kumtanguliza Mungu kwa kila jambo, kwani yey ni mshauri mzuri kuliko sisi b'dam, ila wengi wetu hatujui tu
 
Hiyo ni njia baba mkwe alikuwa anamfikishia message kaka yako kuwa ajenge.

Amwambie wazi baba mkwe asante kwa offer au msaada ila haitowezekana.
 
Da ukweni kwa mimi simshauri kwani kaugomvi kadogo tu tusi kubwa nipo kwetu wewe ndo utafute pa kwenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom