Nyufa kubwa na mfumo mbaya wa maji taka vya hatarisha udom

Tatizo ni kuwa viongozi walioko pale wamepewa madaraka kiupendeleo na wana imani kuwa bila nguvu ya mtu fulani wao wasingekuwa pale. Inapokuja mtu anayeungwa mkono na mtu aliyewaweka madarakani kafika chuoni kwao ndio inakuwa fursa nzuri kujipendekeza, hivi unaijua sera ya CCm inaitwa JIKOMBE UKOMBOLEWE??? Hiyo sera ndio inawafanya viongozi wengi wa kuteuliwa nchi hii kuwa vipofu na kulazimika kutumia misafara na kupokea maagizo kwa watu kama Nape, Salma, Riziwani, Miraj nk. Hadi hapo upendeleo utakapositishwa tegemea kuendelea kuona huo utaratibu.
 
Hv haya mambo mengne ya huko udom c muwe mnayamalza wenyewe 2.
 
Vyombo vya habari vimetuonyesha katibu uenezi na itikadi wa chama cha mapinduzi (CCM) ndugu Nape Nnauye akiwa katika ziara ya kikazi pale University of Dodoma (UDOM).

Mambo aliyoyafanya ni pamoja na kukagua majengo na miundombinu ya Chuo lakini pia alitoa maagizo kwa uongozi wa chuo kurekebisha matatizo madogo madogo aliyoyabaini katika miundombinu. Pamoja na hilo alikutana na wanachuo wanachama wa CCM wa mwaka wa tatu wa sayansi ya jamii (nadhani ni graduates to be). Sina uhakika kama ukumbi waliotumia upo chuoni au ni nje ya chuo maana haukutajwa jina katika vyombo vya habari. Ninachojiuliza ni mipaka ya sheria ya siasa katika vyuo vyetu ikoje? au inaviongelea vyama vya upinzani tu?

Lakini kikubwa zaidi ni mamlaka ya katibu wa chama cha siasa kupewa mapokezi na utawala UDOM hali kadhalika kutoa maagizo kwa uongozi wa UDOM kama kwamba hatuna Mawaziri wanaohusika na vyuo vikuu..!! Hii inatoa picha ipi kiutendaji? ina maana ile semina elekezi bado haikuainisha inter-communication katika baraza la mawaziri na nje hadi kwa viongozi wa chama? Nini mahusiano kati ya udom na ccm?

Je, kweli tutegemee wahitimu mahili kutoka katika chuo hiki kinachoonyesha mahusiano na vyama vya siasa? hakina uwezo wa kupata mahusiano na vyuo vingine duniani?

Nadhani viongozi waandamizi wa CCM walioko humu wanisaidie kupata ufafanuzi wa ile ziara ili nitoe wasi wasi wangu wa kiutendaji na umahili wa UDOM.

source: Je! Nape alistahili kutoa maaagizo kwa uongozi UDOM? - Wavuti
 
kinachomsumbua Nape ni kwamba hajui kazi zake ni zipi naamini ni wakati muafaka apewe kwa maandishi majukumu yake ili aweze kujua anatakiwa afanye nini
 
Back
Top Bottom