Nyota ya Michael Jackson imezimika haraka sana baada ya kifo chake tofauti na 2pac, Bob Marley

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.

Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.

Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
 
Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop dunian, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana dunian.

Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.

Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
Hivi kwanini!??
 
Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.

Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.

Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
Sababu ni moja tu.

Tupac na Bob Marley walikuwa wanaharakati pia.

Nyimbo zao nyingi zilikuwa ni za ki-activist zaidi.

Lakini Michael Jackson yeye ilikuwa ni burudani tu.
 
Marley ni Reggae

Tupac ni Hip Hop

Michael Jackson ni Pop

Ukifuatilia hapo kwa ngozi nyeusi Marley na Tupac lazma wawike maana aina zao za muziki bado ni popular tofauti na MJ ambaye nyimbo zake ni popular kwa race nyingi zaidi..

Kiufupi Pac na Marley bado kwa MJ na ukitaka kujua bhasi angalia ni kiasi gani kazi zao zinaingiza baada ya vifo vyao
 
Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.

Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.

Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
umetumia kigezo gani, umefanya utafiti wapi na kwa njia ipi. we ndio umemsahau siye wengine tunamkumbuka sana, kila siku tunatazama na kusikiliza video zake.
 
Ushawishi kwenye jamii kingine walikua wanaongelea mambo reality kabisa ambayo yanatokea kwenye jamii kila siku tofauti na MJ

Sababu ni moja tu.

Tupac na Bob Marley walikuwa wanaharakati pia.

Nyimbo zao nyingi zilikuwa ni za ki-activist zaidi.

Lakini Michael Jackson yeye ilikuwa ni burudani tu.

Wakuu nyimbo za Michael Jackson mnazijua au mnaongea tu? Nendeni mkasikilize, They don't care about us.
 
Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.

Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.

Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
Kaangalie mauzo ya MJ kwenye streaming platforms, ufananishe na hao uliowataja halafu ujue nani bado nyota inang'aa.
 
Labda Kwa sisi watu weusi.

Ukikaa na wazungu wengi ,au watu weupe wengi ambao ni wengi zaidi kuliko sisi weusi ,hawana habari sana na wakina Pac na Marley.

MJ ni popular Kwa race zote ukimuulizia.

Nyimbo za Pac na Bob zilikua za kiharakati kumhusu mtu mweusi, thus why wametukaa vichwani...sasa mzungu na harakati hizo wapi na wapi, wanataka burudani tu, na MJ alijua kutoa burudani.
 
Unajua kwenye karne ya 20 ...mwanamziki aliyeongoza kwa ushawishi duniani ni Bob marley na ndio mtu mweusi aliyekuwa akiogopeka na hakuwa na nguvu ila silaha yake ilikuwa ni gitaa
 
Michael Jackson was famous and popular but not influential.
Mean while Bob Marley and 2Pac Shakur were influential.
Popularity vs Influence.
Bob and 2Pac songs had impact on other people's lives. Walikuwa wana mashairi yenye ujumbe wa falsafa.
Mashairi yao yametumika kwenye kufundishia vijana shuleni na vyuoni.
Unaweza kuona Bob Marley wimbo wake umetumika kwenye mchezo wa soccer kwenye jezi za Ajax Amsterdam Ajax release Bob Marley-inspired third kit in tribute to fan anthem 'Three Little Birds' | Goal.com Tanzania
 
Back
Top Bottom