Comrade Mpayukaji
Senior Member
- Sep 26, 2007
- 197
- 12
Nyongeza ni danganya toto ni afadhali wasingeongeza chochote. Serikali ya Kisanii. Na ilaaniwe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! JK achia ngazi mzee wa visasi!!!!!!!!!!!!
Huyu mama katugombanisha na ndugu na jamaa,wote wanaamini mishahara ipo juu more than 40% kumbe hajaongeza kitu..jamani yaani hili ni balaa.
Wafanyakazi wamezidi ukondoo,viongozi ni watu tuliowachagua wenyewe sasa tunaposhindwa kuwawajibisha tukabakaki kuugulia kimya kimya basi waache waendelee kutuburuza mpaka hapo tutakapojitambua...lazima ifike mahala wafahamu maisha yao ya kifahari wanayoishi ni kodi zetu na wanawajibika kututengenezea mazingira mazuri na sisi ya kuishi ama sivyo tuishi kidhiki wote sio wananchi pekee..
<br />Msiwe na tabia ya kupenda fedha; muwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema,sitakupungukia kamwe, wala sitakuacha. (Soma Waebrania 13:5)
Du pole sana, kaka sidhani kama kuna imani inayoruhusu mwanadam kumlaani mwanadam mwenzie. kwani mkuu wewe umeongezewa kiasi gani
kwahiyo tuseme hii thread ni ya kutukana?
Nimesikia nyepesi nyepesi kuwa mshahara mpya utaanza mwezi August na siyo July kama ilivyozoeleka!
tatizo sisi WATANZAGIZA tunapenda udaku udaku na we dont read vizuri! sio kwamba mishahara imeongezeka by 40% A BIG NO! but the "SALARY BUDGET HAS INCREASED BY 40%"! na hiyo inaweza kutokea iwapo kuna waajiriwa wameongezeka au watu wamepandishwa vyeo na mishahara, so mimi nazani magazeti yetu hususani yale ya udaku udaku yalipotosha umma au ss waTanzaGiza tulikua hatujaelewa vizuri hili jambo....
Wangekua wameongeza by 40% ungeckia Nape, Pinda, mukama, m.k.were n.k wanapita TZ nzima kusifia mafanikio kaka!
WanaJF
Katika hali ya kusikitisha na kusitajabisha mnamo mwezi wa sitta manisipaa ya temeke ilitoa tangazo la
kuuza viwanja 2800 lakini 742 ndo vilivyogwawiwa. siku hiyo wananchi walipanga msitali tokea asubuhi mpaka
saa 10 jion lakini cha kushangaza watu waliopata viwanja ni wale vigogo wa siku zote ina mana siku hawana viwanja??
kwanini kila kitu wanachukua wao??
1. George mkuchika na mtoto wake
JE hawa pamoja na kuiibia serikali hawajalizika naviwanja walivyonavyo?
2. M mwandosya
Kwanin huyu mtu aliwaachia wanaanchi wa kawaida wakapata?
3. khalfani kikwete
Sijui hapa nisemeje?
4. Pinda chana
Hawa wanaendelea kutunyonya
5. R. Dau
Kanyonya sana NssF? na huku tunahesabu maumivu
6. Said mek sadiki na mke wake
Na ukaimu mkuu wa mkoa huna kiwanja?
7 Sophia simba
Sijui huyu anataka viwanja na pesa zote amiliki yeye?? epa??
8. Omari Mzee (zanzibar)
9. HAwa Ghasia na ndugu zake
List ni ndefu ukifika pale temeke utaona watoto wengi wa vigogo ndo wamepota\
HUU NI UNYONYAJI KWA WATANZANIA WA HALI YA CHINI
Una akili wewe ! natamani kukufahamu tulianzishe!Wafanyakazi wamezidi ukondoo,viongozi ni watu tuliowachagua wenyewe sasa tunaposhindwa kuwawajibisha tukabakaki kuugulia kimya kimya basi waache waendelee kutuburuza mpaka hapo tutakapojitambua...lazima ifike mahala wafahamu maisha yao ya kifahari wanayoishi ni kodi zetu na wanawajibika kututengenezea mazingira mazuri na sisi ya kuishi ama sivyo tuishi kidhiki wote sio wananchi pekee..
<br /><font size="4"><b>tatizo sisi WATANZAGIZA tunapenda udaku udaku na we dont read vizuri! sio kwamba mishahara imeongezeka by 40% A BIG NO! but the "<u>SALARY BUDGET HAS INCREASED BY 40%"</u>! na hiyo inaweza kutokea iwapo kuna waajiriwa wameongezeka au watu wamepandishwa vyeo na mishahara, so mimi nazani magazeti yetu hususani yale ya udaku udaku yalipotosha umma au ss waTanzaGiza tulikua hatujaelewa vizuri hili jambo.... <br />
Wangekua wameongeza by 40% ungeckia Nape, Pinda, mukama, m.k.were n.k wanapita TZ nzima kusifia mafanikio kaka!</b></font>
<br />Wafanyakazi wamezidi ukondoo,viongozi ni watu tuliowachagua wenyewe sasa tunaposhindwa kuwawajibisha tukabakaki kuugulia kimya kimya basi waache waendelee kutuburuza mpaka hapo tutakapojitambua...lazima ifike mahala wafahamu maisha yao ya kifahari wanayoishi ni kodi zetu na wanawajibika kututengenezea mazingira mazuri na sisi ya kuishi ama sivyo tuishi kidhiki wote sio wananchi pekee..