Nyongeza ya mishahara

najua dua la kuku mmoja haliwezi kumpata mwewe laklini wakijikusanya kuku wa kijiji kizima/tarafa nzima, surely hizo dua ziweza kumpata mwewe!
 
Huyu mama msanii, watu wametulia bt wataanzisha kunji muda si kitambo!
 
Wao kwenye bunge wanajiongezea posho tu kisa kuna watu wanawategemea!! Hivi wafanyakazi nao hawana ndugu na jamaa wa kuwategemea? how come sisi 500,000/= itutoshe mwezi mzima na wao 7,000,000/= plus zisitoshe!!? Wanasiasa ni wanafiki wakubwa!!
 
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; muwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema,sitakupungukia kamwe, wala sitakuacha. (Soma Waebrania 13:5)
 
Taarifa yake ya mbwembwe imefanya vitu vimepanda bei sokoni. Ile 40% ilikuwa haina mantiki kuongelewa, kwani impact yake is less than 6% to an individual salary income. Nafikiri imefika wakati sasa kupanda kwa mshaharakusiwe kwa kucheza na tarakimu, ni vizuri kushughulika na takwimu kwa kulinganisha mambo halisia. Hili litaongeza chuki kwa wafanyakazi dhidi ya Serikali hii.
 
Wafanyakazi wamezidi ukondoo,viongozi ni watu tuliowachagua wenyewe sasa tunaposhindwa kuwawajibisha tukabakaki kuugulia kimya kimya basi waache waendelee kutuburuza mpaka hapo tutakapojitambua...lazima ifike mahala wafahamu maisha yao ya kifahari wanayoishi ni kodi zetu na wanawajibika kututengenezea mazingira mazuri na sisi ya kuishi ama sivyo tuishi kidhiki wote sio wananchi pekee..
 
Hawa Ghasia, Mungu atakulaani. Hii ndio nyongeza uliyowatumainisha wafanyakazi wako. Mungu atakulaani. Amen.
Du pole sana, kaka sidhani kama kuna imani inayoruhusu mwanadam kumlaani mwanadam mwenzie. kwani mkuu wewe umeongezewa kiasi gani
 
ALiwaambia kabisa haitaji k ura zenu Nyie mkamchagua tena M.k.w.e.r.e sasa hiyo ndo shukrani yake mtalalamika weeeeeeeeeeeeeeeee lkn hakuna ufumbuzi, kazi ni kwenu
 
JK si alishapatana na nyie wafanyakazi kule Songea sasa mnalalamika nn? Wenyewe namkamshangilia
 
Wafanyakazi wamezidi ukondoo,viongozi ni watu tuliowachagua wenyewe sasa tunaposhindwa kuwawajibisha tukabakaki kuugulia kimya kimya basi waache waendelee kutuburuza mpaka hapo tutakapojitambua...lazima ifike mahala wafahamu maisha yao ya kifahari wanayoishi ni kodi zetu na wanawajibika kututengenezea mazingira mazuri na sisi ya kuishi ama sivyo tuishi kidhiki wote sio wananchi pekee..
Umenena vema mkuu!ukondoo wetu ndo unatufanya tuburuzwe kila uchao.Wafanyakazi tubadilike,kama kilichoongezwa ni matusi kwetu basi tuoneshe kwa vitendo kuwa hatukubali kutukanwa!
 
Huyu mama katugombanisha na ndugu na jamaa,wote wanaamini mishahara ipo juu more than 40% kumbe hajaongeza kitu..jamani yaani hili ni balaa.
 
Nimesikia nyepesi nyepesi kuwa mshahara mpya utaanza mwezi August na siyo July kama ilivyozoeleka!
 
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; muwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema,sitakupungukia kamwe, wala sitakuacha. (Soma Waebrania 13:5)

Hatupendi fedha mkuu, tunahitaji ujira sahihi kwa kazi tunayofanya!!
 
Makubwa! Heri nyie mnaopata mshahara mpya mwezi wa saba wenzenu tumezoea kupata mshahara mpya mwezi wa 11 halafu arrears zinaingia mwezi wa nne!
 
sanduku la kura tulikuwa nalo si kitambo hata mwaka haujaisha .... kwa hiyo maombi ya kuku hayampati.............
 
Back
Top Bottom