we sasa ushauri gani huu, hv wote tukijiajiri watoto wa masikini watapata wapi huduma?mf. shule watafundishwa na nani ikiwa walimu wote wataamua kufanya biashara.
Wanatutungia sheria na kanuni za kuwapendelea kama walivyofanya kwenye hii nyongeza afu tuko kimya kama vile hakuna vyama vya wafanyakazi hata kuaandaa mgomo au hata kuonyesha kukerwa kwa aina yoyote ile ina maana tumekubali kuishi kimaskini na wao kitajiri, Lakini kama tunashindwa kuwaunga mkono wanaharakati na wanasiasa wanaonyesha kutuamsha na unyanyasaji huu....basi wafanyakazi wameridhika kuwa kondoo
Njia ya kuonyesha kutokukubaliana nao ni kufufua majadiliano ambayo yakishindikana ni mgomo hakuna mbadala..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.