"nyoka"...!

Ttaizo ni generalise kama nge wako species moja. No kuna nge wanasumu hatari.. May be unaweza usife laini ukaparlyse hata mguu. kama ilivyo kwa nyoka kuna wale nyoka wa akijani inasemekna hawana madhara wakikugonga kama jamii nyingine za nyoka .

Huko vijijini. maporini kuna watu wanaumwa na nge wenye sumu kali wanaparalyse taratbu baada ya muda mrefu wanshindwa kutembea then wanajua wamerogwa.

Kumbe kashindw akutemeba baada ya miezi sita toka kuumw ana nyoka/ nge akini hawezi ku connect the dots.

Upo sawa, nimekosea ku generalise ila specie, kwani kuna spcie nyingine ninayoifahamu hupatikana zaidi maeneo ya Rujewa/montfort wakubwa kama vyura na ni weusi kama mkaa, hawa sijajua athari zao.
Ninaowaongelea mimi hapa ni wale wapatikanao zaidi majumbani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom