Mie n'nge ndo simtamani, na wale wanaitwa ngadu.
Nyoka hanaga shida na mtu sema tu sisi wanadamu ndo tunawaogopa ila hakuna mtu aliyewahi kufukuzwa na nyoka bali nyoka akimuona mwanadamu huwa anakimbia zake ila kwa chuki zetu huwa lazma tumtafute hadi tumuue...
Lol ni ukatili huo....
Kula mnyama ana haki ya kuishi....tuwapende na tusiwachockoze......
sijawahi kung'atwa lakini nahisi umetudanganya!..
tuwapende wanyama wote lakini sio nyoka.
Kwani mbwa au paka hawana madhara??ishu ni madhara...hizo zingine mbwembwe tu...nyoka hapendeki dogo!
Kwani mbwa au paka hawana madhara??
Mbona mnaishi nao bila shida??
Mbona nyuki mnawafuga??
Kwani hawang'ati??
so hakuna maumivu yoyote unayopata??mana ganzi sio maumivu!
Eeeh kumbe tupo wengi tunaemuogopa huyu shetwani!.Kama kuna kitu naogopa humu duniani ni nyoka.................ah
Ng'e hana noma, wameshaning'ata sana.
Sehemu aliyokung'ata huwa inapata ganzi kama ile ukiegeme a mkono au kukalia mguu.
Ttaizo ni generalise kama nge wako species moja. No kuna nge wanasumu hatari.. May be unaweza usife laini ukaparlyse hata mguu. kama ilivyo kwa nyoka kuna wale nyoka wa akijani inasemekna hawana madhara wakikugonga kama jamii nyingine za nyoka .
Huko vijijini. maporini kuna watu wanaumwa na nge wenye sumu kali wanaparalyse taratbu baada ya muda mrefu wanshindwa kutembea then wanajua wamerogwa.
Kumbe kashindw akutemeba baada ya miezi sita toka kuumw ana nyoka/ nge akini hawezi ku connect the dots.