Nyimbo za zamani za mapenzi

Tupendane - Kilimanjaro Band

🎵Mpenzi wangu naomba nikueleze pendo langu lililo moyoni mmmmm moyoni mwangu mpenzi wng mwenyez mungu muumba ardhina mbingu ndiyo shahidi wa pendo mmmmm moyoni mwangu

🎵Mapenzi ni kuvumiliana nami mpenz nimekuvumiliaaa

🎵Mapenzi ni kuaminiana nami mpenzi nimekuamini

🎵Mapenzi ni kuheshimiana nani mpnz nimekuheshimu

🎵Kama nyota na mwezi vilivong'ara angani tung'arishe penzi letu sote tupeane penzi bila choyo chochote na bila hiyana kwetu sote

🎵Elewa penzi ni chombo kinachotuunganisha ni chombo kinachosafiri kat ya mioyo yetu iliyo thabiti

🎵Uuuuuuuhuuuuuh

🎵Tulizana mpenz tupendane tulizana mpenz tupendane

🎵Uuuuuuuhuuuuuh uuuuuuuuh
 
ooh uncle ake maprozoo
 
Weka audio, hayo mavideo kwa hili bundle la Nape hayagusiki
 
Back
Top Bottom