Nyimbo ya Lil' Wayne "Mirror" ina ujumbe mkubwa sana

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,992
45,497
Nipo hapa nasikiliza nyimbo ya mkali kutoka USA Lil Wayne inaitwa Mirror

Hii nyimbo kaelezea kwa kutumia neno mirror akimaanisha kioo kuwa katika haya Maisha tunaishi huwa Kuna nyakati tunapitia ziwe nyakati nzuri au mbaya ila mtu pekee ambaye atasimama na wewe ni yule ambaye huwa ukijitazama kwenye kioo unamwona ndo hawezi na hatoweza kukuacha katika nyakati zako zote za Maisha yako.

So Lil Wayne anamaanisha unabidi kumpenda Sana rafiki yako ambaye huwa ukijitazama kwenye kioo unamuona ambaye ndo wewe.

Hivyo tunabidi kujipenda kujikubali sisi Kama sisi na tunapokuwa katika fa** ck days we need to be our own supporter

👇
Uh, with everything happening todayYou don't know whether you're coming or goingBut you think that you're on your wayLife lined up on the mirror don't blow it (woo)Look at me when I'm talkin' to youYou lookin' at me but I'm lookin' through youI see the blood in your eyesI see the love in disguiseI see the pain hidden in your prideI see you're not satisfiedAnd I don't see nobody elseI see myself, I'm looking at theMirror on the wall (woo), here we are again (yeah)Through my rise and fall (uh)You've been my only friend (yeah)You told me that they can understand the man I amSo why are we here talkin' to each other again?Uh, I see the truth in your liesI see nobody by your sideBut I'm with you when you're all aloneAnd you correct me when I'm lookin' wrongI see the guilt beneath the shameI see your soul through your window painI see the scars that remainI see you Wayne, I'm lookin' at theMirror on the wall, here we are again (yeah)Through my rise and fall (uh-huh)You've been my only friend (my only friend)You told me that they can understand the man I am (they can understand)So why are we here talkin' to each other again
(misunderstood)Lookin' at me now I can see my pastDamn I look just like my fuckin' dadLight it up, that's smoke at mirrorsI even look good in the broken mirrorI see my momma smile that's a blessin'I see the change,

I see the messageAnd no message could been any clearerSo I'm starting with the man in theMirror on the wall (MJ taught me that)

Here we are againThrough my rise and fallYou've been my only friend (take them to mars man)You told me that they can understand the man I amSo why are we here talkin' to each other againUhMirror on the wall, here we are againThrough my rise and fallYou've been my only friendYou told me that they can understand the man

I amSo why are we here talkin' to each other againMirror on the wallAyy BP, looks like I did take 'em to mars this timeSo why are we talkin' to each other again?
 
Mimi mbona nikijiangalia kwenye kioo namuona mtu mwingine?
Huyo ndio namuamini, kwamba hatoweza kuniacha ktk nyakati zote.
Sio kwamba sijiamini, lah! Peke yangu siwezi.

Lakini, huo wimbo naupenda na hata Wayne nampenda pia.
 
Mimi mbona nikijiangalia kwenye kioo namuona mtu mwingine?
Huyo ndio namuamini, kwamba hatoweza kuniacha ktk nyakati zote.
Sio kwamba sijiamini, lah! Peke yangu siwezi.

Lakini, huo wimbo naupenda na hata Wayne nampenda pia.
Life line up on the mirror don't blow it

Maisha yanaanza na wewe wewe ndo dereva wa chombo chako so Lil Wayne kasema yule mtu anayemuona katika kioo ambaye ndo yeye ndo aliweza na anaweza kusimama na yeye katika nyakati nzuri na mbaya this is real
 
Umesikiliza Albums ngapi za ngosha ?
Tulia huyo back the anaishi Mwanza nachoweza kusema kitu kinachomfanya huyo jamaa Kukaa hapo ni kuwa ni bookworm msomi wa vitabu na mtu anayesoma Sana vitabu anakuaga vizuri kichwani ila kuhusu muziki wake huwa anatoa quotetation kutoka katika vitabu vya kiingereza na kutafsiri kuingiza katika Kiswahili that all
 
Tulia huyo back the anaishi Mwanza nachoweza kusema kitu kinachomfanya huyo jamaa Kukaa hapo ni kuwa ni bookworm msomi wa vitabu na mtu anayesoma Sana vitabu anakuaga vizuri kichwani ila kuhusu muziki wake huwa anatoa quotetation kutoka katika vitabu vya kiingereza na kutafsiri kuingiza katika Kiswahili that all
Sijakuuliza kuhusu tabia yake ya usomaji vitabu. Nimekuuliza umesikiliza Albums ngapi za ngosha ?
 
Sijakuuliza kuhusu tabia yake ya usomaji vitabu. Nimekuuliza umesikiliza Albums ngapi za ngosha ?
Mkuu nimekwambia Album Zake zote nimesikiliza zipo boomplay huwa namfatilia kuhusu idadi sikumbuki ila kribu nyimbo zake zote nasikiliza Hadi Amapiano yake katoa na Chino Wana man so hivyo the guy is too overrated
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom