Kwa kweli ni kumdharirisha Mwl. Nyerere kumlinganisha/ kumtofautisha na Kikwete. These two are uncomparable! it is just like tembo na sisimizi! compare / contrast Nyerere with Nkwame Nkrumah ? Mandela not kikwete please. Even the photos show that.
Kila mmoja alikuwa na wakati wake.Nyakati zao ni tofauti na mazingira ya mwaka 1960 na ya 2010 ni tofauti kabisa.Hizi picha zina nia ya kumdhalilisha Kikwete tu na wala si Nyerere.
Kila mmoja alikuwa na wakati wake.Nyakati zao ni tofauti na mazingira ya mwaka 1960 na ya 2010 ni tofauti kabisa.Hizi picha zina nia ya kumdhalilisha Kikwete tu na wala si Nyerere.
Si kumdhalilisha...bali ni kusema hali halisi............. Kwa mfano Nyerere alishika udongo kwa mikono yake na huku akisimama/chuchumaa juu ya udongo lakini huyu JeyKey kashika udongo kupitia sepetu na kapiga magoti juu ya jamvi............... Do you think this is bacause of time............ Noooooo ndugu.............
Nakubaliana kabisa na Ngalikihija. JM anajali hali wakati JKN anajichanganya. Asante mkuu kwa hii post, inanikumbusha mbali sana mwaka 47 ......... Ujamaa na Kujitegemea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.