FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,193
FF Wazazi wako waliomba urai wa Tanzania au bado wanauraia wa Tanganyika? Samahani kukuuliza hivyo.
Wazazi wangu wote wako mbele za haki, na walitangulia wakiwa Watanganyika.

Mods naomba muieondoe hii akaunti ya "njiwa" mana amedhirisha wazi kuwa yeye ni faizafoxy with new ID.
Plz mods naomba mumuondoe.
hahhahhaha kajisahau
Lol, sorry!! 1964 ooops.
"4.-(1) Every person who, having been born in Mainland Tanzania or in Zanzibar before Union Day, was immediately before Union Day a citizen of the Republic of Tanganyika or of the People's Republic of Zanzibar shall be deemed to have become, on Union Day, and, with effect from Union Day, subject to section 30, to have continued, and after the commencement of this Act shall continue, to be a citizen by birth of the United Republic" - http://www.bunge.go.tz/Polis/PAMS/Docs/6-1995.pdf
Siku zote huwa naamini kuwa FF ni dume maana michango yake humu inaonyesha kabisa kuwa ni mwenye roho mbaya ambayo ni aghalabu kuikuta kwa kina mama.Sasa leo kajisahau na kujibu kwa kutumia ID ya Njiwa ambaye naye tunamfahamu kwa post zake.