SOBY
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 1,268
- 457
Shangazi Faiza,
Sikuweza kuingia jukwaa la hoja nzito ili kuijibu hoja yako ya uraia wa Nyerere.
Tanganyika ilikuwa siyo colony per se ilikuwa ni League of Nations Mandate (together with British Togoland), kwa hiyo raia au wakaazi wa Tanganyika kabla ya uhuru walikuwa na status ya British Protected Persons
Hao siyo raia wa Uingereza, bali husafiri na passports za Uingereza na huwa hawaitwi aliens.Something in between.
BPPs huwa wanapoteza hiyo status upon independence bila hata kula kiapo, kwani automatically wakaazi wote wa Tanganyika walikuwa BPPs,(British Nationality Act, 1948).
Ili ku maintain BPP status inabidi uwe huna uraia wa nchi yeyote (stateless) after independence.
Sasa uraia wake unakuja through Tanganyika citizenship Ordinance, 1961...repealed 1962.