Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 13,664
- 18,822
- Thread starter
- #21
Ni vyema ukapata Kindle PaperWhite - Hii ni device maalum nzuli kwa walio addicted na novel /vitabu kwa ujumla.ahsante mkuu. next week bosi akinipa changu ntakutafuta unisaidie kununua Novel.
Ambapo utakuwa ukinunua vitabu toka amazon na instantly unakipata katika kifaa chako na kuanza kusoma hapo kwa hapo.