NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

Status
Not open for further replies.
Hizi mada za udini natamani zingepigwa marufuku au ziwe zinaangaliwa kabla yakutolewa. Mtu mmoja anaweza akaja na chuki zake alafu asijue reaction ya watu itakuwaje. Jamani kama mtu anazungumzia udini aje na information za uhakika sio kutumia utashi wake sio waote ni great thinker humu jamvini wengine ni vilaza.
 
Aliingia Mkapa mamlakani akakuta serikali imefilisika kutokana na mzee Mwinyi kutowatoza kodi marafiki zake wafanyibiashara wa Kiarabu na Kihindi. Mkapa akafunga mkanda akaanza kukusanyisha kodi kama mwendawazimu vile. Kufikia wakati anaondoka mamlakani aliiacha serikali katika hali nzuri kifedha, sukari ikiwa shilingi mia sita kwa kilo na mchele shilingi mia nane. Akaingia huyu Vasco Da Gama kitu cha kwanza alichofanya ni kufumua baraza la mawaziri 60 na ushee, matumizi yasiyo na kipimo, na safari zisizo na tija. Matokeo yake serikali imefilisika. Leo bei ya mchele inakaribia shilingi elfu tatu kwa kilo, na bei ya nyama ndiyo usiseme kabisa. Hivi sasa serikali karibia inafilisika kiasi kwamba namwonea huruma rais atakayechukua 2015. Atakuta hazina tupu. Niendelee?

Endelea mkuu.
Hapo kwa Mwinyi ni kwamba, Mwinyi alikuwa anakusanya bilioni 28 kwa mwezi na Mkapa alipoingia Madarakani akaunda TRA na akaanza kukusanya bilioni 125 kwa mwezi na zikaendelea kuongezeka na kuongezeka. Kuna makosa aliyofanya ni kweli ikiwemo mikataba mibovu ya madini (ambayo hata JK amekuja kuiendeleza kwa kasi na mingi zaidi na sasa mikataba mibovu ya gesi yetu na ukiwalinganisha Mkapa ni nafuu). Mkapa pia ni rais wa kwanza kujenga barabara kwa pesa za serikali. Alijenga daraja la mto Rufiji, uwanja wa mpira wa kisasa etc. Aliacha mapesa kibao hazina na JK alipoingia tu madarakani pesa zile zilimchanganya akili akiwa hana mpango nazo kwa maendeleo zaidi ya kuanza kupanga safari zisizoisha huku mfumuko wa bei ukipaa kwa kasi n.k n.k.
 
Maoni yangu:
1. Kimaadili, si sahihi kutoa taarifa za usaili wa kazi nje ya vikao rasmi. Kama kweli huyu bwana/bibie ana nia njema ya kusaidia taifa na nssf angeliwasilisha maoni yake huko. Nina hakika hajafanya hivyo. Watu wa aina hii ni hatari sana.
2. Ingelikuwa bora angetuonesha uwiano wa kitakwimu kati ya waislamu na wakristo walioajiriwa nssf. Hakufanya hivyo!
3. Ingelikuwa na mantiki kama angetuambia waislamu na wakristo walioomba kazi kwenye nafasi hizo walikuwa wangapi? Hakufanya hivyo!
4. Ingelikuwa na mantiki kama angetuonesha idadi ya waislamu na wakristo walioorodheshwa kuja kwenye usaili walikuwa wangapi? Hakufanya hivyo!
5. Ingelikuwa na mantiki kama angetuonesha ni wakristo wangapi waliopata nafasi alama nyingi na wamenyimwa kazi? Kila anayeomba kazi anapewa alama zake na kila mwanajopo na sio mtu mmoja. Hakifanya hivyo!
6. Angelikuwa mweledi kama angetupatia takwimu za kimaendeleo za nssf kabla ya Dr. Dau kukabidhiwa shirika na baada ya kukabidhiwa shirika ili tujue kama limekufa au la. Hakufanya hivyo!

Yapo mengi ya kuhoji, itoshe kusema kwamba tunapotaka kuleta hoja, tujiulize maswali mengi na sio kukurupuka na kuandika. Ni hatari sana kukurupuka mbele ya kadamnasi!
 
NSSF ilikuwa inaelekea kaburini kabla ya ujio wa Dau. Watu walikuwa wakilia mafao yao hawapati mpaka wahonge na wala hawajui wana kiasi gani, wizi mtupu.

Baada ya Dau, NSSF ni taasisi inayochangia kwa hali ya juu uchumi wa Tanzania na imeboreka kila nyanja na imekuwa ya kisasa zaidi.

Tatizo lenu ni Udini unawasumbuwa, hampendi kuona maendeleo yanayoletwa na Waislaam.

Leo Kikwete amefanya kuliko Rais yeyote wa kabla yake lakini utakuta wanaomponda ni hao hao. Na hiyo yote inatokana na chuki ya kuwa wao kila wanapowekwa wananuwa kila kitu. Hata Nyerere aliiuwa Tanzania ikawa nchi ya mwisho kwa umasikini duniani wakati wa utawala wake, alipokuja Mzee Ruksa kila kitu kikabadilika na kila alipopita alipendwa na watu wote kasoro ya wale wale kina mleta mada.

Afadhali umeliona hill mkuu! Maana waislam kila walifanyalo ni baya, huu udini sijui utatupeleka wapi
 
It is very relevant. Mnamsifia Mwinyi ambaye aliacha serikali bankrupt kutokana na policies zake bankrupt. Akaja Mkapa ambaye mmemruka makusudi ili kuonyesha kuwa viongozi wa kiislamu ndio makini. Lakini namba zenu tunazo! Na huyu wa sasa ndiye hopeless kabisa. Sukari bei gani sasa? Nyama je? Wakati wa Nyerere ulisikia wafanyikazi serikalini wakilalamika kukosa mishahara kwa miezi? Inatokea sasa.

Wakati wa Nyerere huwezi kuufananisha na wakati huu wa Vasco Dagama!! Enzi za Nyerere watu walikuwa wanasoma mpaka ukomo wao hata kama wazazi wao walikuwa maskini na ndio maana hata watoto wa wasuka mikeka walifika chuo kikuu; enzi za Nyerere matibabu yalikuwa bure lakini hivi leo wakina mama lazima waende na viwembe wanapokwenda kujifungua; enzi ya Nyerere kulikuwa hakuna kubaguana kwa dini ,hivi leo makanisa yanachomwa moto na waislam na Vasco Dagama yeye anatalii tu!!
 
Hili la udini nssf limeshajitokeza mara nyingi humu jf. lakini pia kuna afisa mmoja wa juu pale nssf aliwahi kunidokeza kuhusu hili suala mwaka jana. aliniambia vijana wengi wa kiislamu wananufaika na ajira nssf kutokana na upendeleo wa waziwazi unaofanywa na DG. eti amekuwa akiwaorodhesha na kuwaita kisirisiri kuwafundisha yale watakayoulizwa kwenye interview ili hatimaye kuhalalisha kupitishwa kwao na kupata ajira. nimeambiwa kuwa hapo makao makuu ni 'full hijab'. hebu mliopo ndani ya nssf tusaidieni kwa kueleza mnachokijua isije ikawa wanamuonea bure dokta wa watu.
 
Nimesikitishwa sana na jinsi ambavyo shirika la umma kama NSSF lilivyoingiliwa na udini uliotamalaki hasa katika masuala ya ajira na kupanda vyeo. Nakumbuka nikiwa katika pannel ya interview hali ilivyokuwa mbaya japo shirika linaendeshwa na msomi ila ameshindwa kujizuia katika kuonyesha udini ndani ya shirika. Interview hiyo ya kutafuta maofisa mafao na wahasibu wasaidizi hali ilikuwa tete sana, Ni vijana wengi waliomba na hakika si wote wangechukuliwa ila cha kushangaza pale kwenye interview kulikuwa na vituko usipime, walipokuwa wanajibu swali hata bila kuzingatia majibu yaliyotolewa alikuwa anakoment GOOD, na comment zingine za ajabu na kuwakatisha tamaa Watu wenye majina ya Kikristo hata kabla hawajieleza. Ni kweli kipimo chaweza kuwa elimu ila nilishuhudia vijana wengi wamejieleza vizuri na wakiwa na point nyingi kwa watu wengine tuliokuwa nao katika pannel lakini mwisho wa siku watoto wa kikriso waliopata nafasi walikuwa ni wale wa viongozi wa juu serikaliji pekee na zaidi ya 80% ya waliochukumiwa wakiwa waislam. Kuwa hukua waislam si mbaya bali wawe na uwezo sasa maana mngepata nafasi ya kufanya nao kazi sasa duuuu ni shughuli maana wengi kwa kweli ni vilalza usipime. Anyway tunakoelekea mtasikia tu habari kama shirika halijaenda ICU mtanikumbusha kwa huu uzi b
:A S embarassed:Wala usishangae huo ni Mkakati mpya baada ya hoja ya kadhi kuzimwa bungeni ulifunguliwa Mlango mwingine kuhalalisha jitihada za kuitawala nchi hii kiislamu kwani hujasikia hata katika mambo Muhimu ya kitaifa kama usahihishaji wa mitihani na Form five selection huwa wanatumwa maofisa kwa ajili ya kuhakikisha waislamu wanapendelewa kufaulu na kupangiwa shule zilnazosadikiwa kwamba ni bora zaidi ? acha hiyo NSSF ife ndo watakapojua kwamba mambo mengine ni ya kitaalamu na siyo kidini :A S embarassed:
 
Hapa kuna watu wameguswa sana. Jamani tambueni kuwa mtu yeyote aliyesoma vizuri Uislam na akafuata maamrisho na kuacha makatazo, basi atakuwa mwadilifu tu. Waislam siku zote ni waadilifu, hawawezi kufanya hujuma kwa wanadamu wenziwao. Hebu angalia BOT waliojaa ni nani na kumbuka wizi mkubwa katika BOT ni kipindi cha nani? Mimi ni chadema lakini nampa big up Kikwete, nadhani ni kwa sababu yeye ni muislamu hivyo anaamini kuwa kuna kufufuliwa na hesabu. Lakini Wakristu mnakumbuka kuwa ninyi hamuamini hesabu hivyo mnamaliza kila kitu hapahapa. Tunapozungumzia UFISADI=UHARIBIFU WA HAKI ZA WATU na za MUNGU MUUMBA.
 
Wakati unafika waadilifu watajulikana na mafisadi wa kweli wataumbuka. Siku zote dini ya kweli kwa Muumba itashinda japo watachukia washirikina. UISLAM+MUISLAM=UADILIFU
 
Nimesikitishwa sana na jinsi ambavyo shirika la umma kama NSSF lilivyoingiliwa na udini uliotamalaki hasa katika masuala ya ajira na kupanda vyeo. Nakumbuka nikiwa katika pannel ya interview hali ilivyokuwa mbaya japo shirika linaendeshwa na msomi ila ameshindwa kujizuia katika kuonyesha udini ndani ya shirika. Interview hiyo ya kutafuta maofisa mafao na wahasibu wasaidizi hali ilikuwa tete sana, Ni vijana wengi waliomba na hakika si wote wangechukuliwa ila cha kushangaza pale kwenye interview kulikuwa na vituko usipime, walipokuwa wanajibu swali hata bila kuzingatia majibu yaliyotolewa alikuwa anakoment GOOD, na comment zingine za ajabu na kuwakatisha tamaa Watu wenye majina ya Kikristo hata kabla hawajieleza. Ni kweli kipimo chaweza kuwa elimu ila nilishuhudia vijana wengi wamejieleza vizuri na wakiwa na point nyingi kwa watu wengine tuliokuwa nao katika pannel lakini mwisho wa siku watoto wa kikriso waliopata nafasi walikuwa ni wale wa viongozi wa juu serikaliji pekee na zaidi ya 80% ya waliochukumiwa wakiwa waislam. Kuwa hukua waislam si mbaya bali wawe na uwezo sasa maana mngepata nafasi ya kufanya nao kazi sasa duuuu ni shughuli maana wengi kwa kweli ni vilalza usipime. Anyway tunakoelekea mtasikia tu habari kama shirika halijaenda ICU mtanikumbusha kwa huu uzi b

Kuna wakati ambapo waislam walilalamika sana madai yao yakaonekana kwamba hayana msingi, ni makosa ya wale waliouanzisha udini kwani hawakujua kwamba athari yake ni mbaya sana. Kimsingi Dr Dau sio mdini ispokua ni mchapa kazi na ulitaka ushahidi ni wazungu kumkubali mpaka kupewa usimamizi ktk nchi mbalimbali za Sub Sahara, infact tukipata watu kama watano tu ktk nchi yetu kama Dr Dau, magufuli, Mwakyembe basi njaa imetoka. Ni afadhali kua mdini kuliko kua mbinafsi, inakuwaje mtu mmoja ajilimbikizie mali nyingi kama vile chenge ambae pengine sio mdini lakin hilo ni baya kuliko udini.
 
NSSF ilikuwa inaelekea kaburini kabla ya ujio wa Dau. Watu walikuwa wakilia mafao yao hawapati mpaka wahonge na wala hawajui wana kiasi gani, wizi mtupu.

Baada ya Dau, NSSF ni taasisi inayochangia kwa hali ya juu uchumi wa Tanzania na imeboreka kila nyanja na imekuwa ya kisasa zaidi.

Tatizo lenu ni Udini unawasumbuwa, hampendi kuona maendeleo yanayoletwa na Waislaam.

Leo Kikwete amefanya kuliko Rais yeyote wa kabla yake lakini utakuta wanaomponda ni hao hao. Na hiyo yote inatokana na chuki ya kuwa wao kila wanapowekwa wananuwa kila kitu. Hata Nyerere aliiuwa Tanzania ikawa nchi ya mwisho kwa umasikini duniani wakati wa utawala wake, alipokuja Mzee Ruksa kila kitu kikabadilika na kila alipopita alipendwa na watu wote kasoro ya wale wale kina mleta mada.
Tazama hapo kwenye RED. Hapo ndipo utathibitisha kuwa Waislamu ni wachovu. Hakuna akili. Kuwa nchi ya mwisho kwa umasikini maana yake ni kuwa nchi ya kwanza kwa utajiri duniani. Kwa maneno mengine ni kwamnba Marekani ndiyo nchi ya mwisho kwa umasikini, au ya kwanza kwa utajiri. Waislamu waende darasani jamani! Hizi shule za kata balaa tupu!
 
Kikwete sio fisadi, EPA hujasikia hukumu ya kina pateli na wenzake, na lyumba naye alitumikia jela kwa kosa gani, juzix2 tu watu wamefungwa miaka 20 kwa sababu ya epa, katika richmond kinachogomba ni mkataba mbovu uliyompelekea swahiba wako kujiuzulu kwa sababu ya ushahidi laivu wa mzee wa usafirishaji. Mwisho NSSF hakuna udini bali kuna usawa kitu ambacho ninyi hamtaki.
Kikwete si fisadi? Waliokamatwa kwenye sakata la EPA ni vidagaa. Rostum anaendelea kuwacheka Watanzania jinsi walivyo mazuzu. Tueleze basi utajiri wa kukufuru alio nao pamoja na mwanae Ridhiwani wameupata wapi? Una macho lakini huoni. Una masikio husikii. Kikwete is a thief, my friend.
 
Wakati unafika waadilifu watajulikana na mafisadi wa kweli wataumbuka. Siku zote dini ya kweli kwa Muumba itashinda japo watachukia washirikina. UISLAM+MUISLAM=UADILIFU

Mkuu hivi duniani hapa kuna wachawi kama waislamu? tena uchawi wao ni hatari mno maana unatumia majini. Mfano angalia Tanga, Bagaomoyo, Dar es Salaam, Kigoma, Tabora n.k. Kwenye ufisadi, hivi akina Patel, Somaiya and the co. ni dini gani? Rostam Azizi ni dini gani?
 
Kila kona mkizidiwa mnaleta mada za udini jaman tumesoma na tuna vigezo na uchapakazi wa hali ya juu, achani mambo yenu tuijenge TZ bora nyie vip bana?
 
privacy policy, haihitaji digree ya sheria, mkuu keshatoa 'lead' kataja shirika na post zilizokuwa zinajazwa..dammit .!!? Hivi ushajiuliza kwa nini seminary za kiislamu zinaburuza mkia kila siku kazi kumuandama ma'am ndalichako, wanapeana kazi vilaza alimuradi uwe tu muislam bila kujali una nn kwa brain yako,matokeo yake wanalishana matango pori halafu lawama.

the truth can not be defeated by any stupid privacy policy, the truth need to be said at any cost, otherwise you will never be free or trusted
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom