hebu tupe uzoefu ki-sugar, enzi zako yalikuwepo haya ya pasu kwa pasu?inanisikitisha,kwani nilishawahi kufanya kazi nssf
ela = ???????Jamani ela imechukuliwa na serikali yenu ya JMT
Wewe kama wanakuomba rushwa waambie sawa, nenda Takukuru watakupa njia za kufanya kuwanasa hao waomba rushwa.
Toa kitu upate kitu kama unataka kwa haki uwe na subira
Tatizo ukienda takukuru wakakupa maelekezo wanawapigia simu nssf na kuwaeleza tumewawekea mtego tunakuja nchi hii imeshaaribika