Nssf -msaada wa haraka tafadhali

ARV inawezekan upo sahihi kutokana na company alikotoka wana mkataba gani na nssf
maana wanatofautiana I.e watu wa migodini wao hupewa mafao yao baada siku tatu ....

sio watu wa migodini tu! Hata sehem zingine, ila kama mchangiaji sio mtznzania na amemaliza mda wake wa kuishi tz lazima apewe fasta pesa yake
 
OK, MJADALA WA NSSF NI MREFU NA UNAGUSA WENGI SANA. Naomba tuujadili kwa kirefu ili watu wengi wafaidike.

Mie nimefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10, na nimechangia NSSF. Kwa sasa nina shs million 8.

Sasa nitafanyaje ili niweze kukopeshwa angalau million 5?

Au nitafanyaje nitumie mchango wangu wa NSSF kama Bond kukopa BENK
 
hahahaha.....unachakachua thread wewe....kwema mkuu
humu JF kuna watakao kusaidia kwa nia njema, pia kinawatakao kutapeli usipokaa sawa, la mwishi kuna matakokuru watakao taka kula pesa yako pia just be smart ,

bado namlilia Gaddafi si kwamba alikuwa hana mabaya bali nikipima mabaya na mazuri aliyowatenda naona mabaya yako kiduchu na yeye si ati alikuwa malaika....
 
Mkuu Shadhuly,

Ni kweli sheria ni miezi sita lakini NSSF wanaweza kukupatia fedha zako kabla ya hiyo miezi sita kama utawapa sababu za msingi kwanini unahitaji fedha kabla ya miezi sita iliyowekwa kisheria.

Sababu zinazoweza kusikilizwa ni.

[1] Iwapo una mtoto anadai ada shuleni au chuo.

[2] Iwapo una ugonjwa utakaothibitishwa na daktari eg unahitaji upasuaji na nk.


taratibu za kuchukua mafao yako kwa nssf ni lazima usubii miezi sita then ndo unaweza kuwithdawal.unless imethibitika kwamba ni mgonjwa na umachishwa kazi kwa ajili ya ugonjwa huwezi kufanya kazi tena.au umefikia umri wa kustaafu kwa hiari
 
Mkuu Shadhuly,

Ni kweli sheria ni miezi sita lakini NSSF wanaweza kukupatia fedha zako kabla ya hiyo miezi sita kama utawapa sababu za msingi kwanini unahitaji fedha kabla ya miezi sita iliyowekwa kisheria.

Sababu zinazoweza kusikilizwa ni.

[1] Iwapo una mtoto anadai ada shuleni au chuo.

[2] Iwapo una ugonjwa utakaothibitishwa na daktari eg unahitaji upasuaji na nk.



Pia kama unasafiri kwenda nje ya nchi (iwe kikazi au vinginevyo)....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom