MTAFUTAJIHALISI
Member
- Sep 23, 2011
- 15
- 1
Wadau naomba msaada wenu, mimi kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi niliacha sasa ni mwezi mmoja. japo nimepata kazi ya kujishikiza, nina shida sana ya kuchungua MICHANGO ya NSSF ambayo nimechangia. Naomba msaada wa namna ya kupata pesa zangu ndani ya wiki 2 ikiwezekana. Kwa msaada huu, nitatoa jumla ya consultancy fee ya Tshs 400, 000 kwa watakaonisadia. Tafadhali kama kuna mtu wa NSSF hapa anayeweza kunisaidia au kama kuna mtu anajamaa yake NSSF anayeweza kunisadia. naomba ani text(tuwasiliane) kupitia 0763 894508.
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani