St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,637
- 4,521
Tatizo kubwa linalowakabili watu wengi ni kwenda ndivyo sivyo ndio maana wakati mwingine inakuwa vigumu kusema ukweli wote.Lakini kama ingekuwa kila mtu yuko straight katika maisha bila kona za hapa na pale basi ukweli ungewezekana kwa kila kitu.Na ukweli unabaki palepale kuwa only truth will set you free.