Nokia original

ata chines mobile zinakubali *#0000#,the guarantee numbey bonyeza *#92702689# kama ni original itadisplay model yake,and life time yake katika masaa

model yake haionyeshi ila life time inaonyesha je ni original
 
naomba msaada je nawezaje kutambua simu aina ya nokia original na feki.

-bonyeza alama ya nyota,reli, sifuri,sita,reli halafi ubonyeze kitufe cha kupaga simu
-angalia namba ya IMEI ya simu itakayo tokea... angatarakimu ya sita na ya saba... iliwa ni 00 au10 au 01 au 11 simu yako ni original.tarakimu haizo zikianzia na 3 simu ni feki na ni mbaya kwa afya yako sababu ya mionzi...
 
Mkuu ukitaka kupata IMEI inakupasa ubonyeze *#06# na sio hiyo path uliyoweka
 
Bonyeza/long press kitufe cha sifuri, itafungua web/internet kama ni original, kama sio haitafungua internet.
 
ata chines mobile zinakubali *#0000#,the guarantee numbey bonyeza *#92702689# kama ni original itadisplay model yake,and life time yake katika masaa

mr, mbona cm yangu imekubali njia zote ila hii ya *#9270 . . . . imegoma, kwa hiyo inawezekana ni mchina?
 
Back
Top Bottom