Duh! Unamaanisha huenda ikawa tu pambo sasa!!!Kama inavyosema iko network locked, anayeweza ku-unlock kwa kawaida ni network provider aliyeiuza, hiyo tena ni Windows Phone simu zilizoachwa kutengenezwa miaka zaidi ya 6 iliyopita so chance za kupata fundi ni karibia zero na hata provider mwenyewe anaweza akawa hana tena uwezo wa kuunlock.
sio pambo tu ni kama lidudu mtu! ๐Duh! Unamaanisha huenda ikawa tu pambo sasa!!!
Nahisi hii n simu ya kulipia then ukaifanyia manuva ili usilipie... Ukala bata weeeeeeeee...Salama mafundi simu.
Nokia yangu kama ilivyo kwenye picha,haisomi laini yoyote.
View attachment 2865702
Simu ilitoka UK mkuu.Nahisi hii n simu ya kulipia then ukaifanyia manuva ili usilipie... Ukala bata weeeeeeeee...
Kosa lako ukaja kuirestore... Baaaaaaaaasi umeisha... If that's the case nicheki I can solve it
Hahahahaha weeee, bado nataka fundi kwanza nikatambe nayo. Ntakuuzia ikiwa inafanya kazi. Ila kama upo serious zipo 4 zote the same issue.Niuzie hiyo simu mkuu