mkuu unakula 300 bila longo longo?
chinese @workHaya sasa nimewawekea na picha kabisa,sitaki kuuza mbuzi kwenye gunia,bofya attachment hapo chini
Hapana! No thank u
We ni Silanga?
Mi nimemwambia kwamba akitaka ntamtafutia.
Kwa tatu na nusu naweza kukutafutia.
Mhe, Jeff
Sina lengo la kukuharibia biashara, ila ninaomba niwe mkweli katika hili.
Ukweli: Kuna mtu amepita ofisini kwetu anazungusha hizo simu na kaniuzia simu kama hiyo n8 kwa Sh 200,000/- (laki mbili) akijifanya amezichukua mahala ambapo hazijalipiwa kodi na ushuru....Nami nikaamini, hakika hiyo ni Mchina tena FEKI....Mwanzoni, ilikuwa ukiiwasha inaonyesha original symbol ya Nokia ya mikono inayosalimiana....lakini kwa sasa mikono imepotea na inaonyesha viwatu viwili vikisalimiana usiku usiku (vinaudhi). I regret kupoteza laki mbili zangu. Nimeamua kumgawia jamaa fulani, lakini bado ninajutia kupoteza hiyo hela.
So please, kama kuna mtu yuko serious kununua simu kama hiyo....awe makini asije akajuta kama ninavyojuta......
Lizy hako ndo kauwezo kangu ka vip fanya msaada wa hiyo fifty nikuchek hata leo hii
Mkuu pole sana kwa dhoruba iliyokupata! Nikiwa D'Salaam safari moja eneo la NMB Bank House akaja kijana mmoja na simu hiyo hiyo nokia N8. Nikamwambia mimi sina hela, akaning'ang'ania sana at last nikamwambia alilete niicheki kama kitu original. Nikacheki nikaona maandishi yamekaa kichina china!!!!Mhe, Jeff