Kilimo cha mahindi na viazi mviringo cha kisasa huko Kilolo, Iringa

Muuza madafu wa Ikulu

JF-Expert Member
Feb 21, 2024
632
1,242
Nimeona rafiki yangu mmoja niliyesoma naye Chuo Kikuu kule Morogoro ameweka hizi video zikionesha namna watu wanavyofanya Kilimo cha Mahindi na Viazi Mviringo lwa kitumia technologies ya kisasa nikasema nishare nanyi wana JF ili muwe inspired kama mimi nilivyokuwa inspired.

Nimemuahidi Jamaa nitakwenda siku 1 kuona namna wanavyolima. Niache maneno, angalia video hizo hapo chini.


Hapa wakipiga madawa kwa kutumia drone kwenye viazi mviringo na Chini Central Pivot ikimwagilia Mahindi. Kumbe watanzania tume advance sana kwenye Kilimo.


Nilimuuliza Jamaa yangu kuhusu uzalishaji kwa eakri akaniambia, Mahindi wanavuna gunia 42 kwa ekari na viazi mviringo wastani wa gunia 150 hadi 170 kwa ekari. Binafsi nimevutiwa sana.
 
Nilimuuliza Jamaa yangu kuhusu uzalishaji kwa eakri akaniambia, Mahindi wanavuna gunia 42 kwa ekari na viazi mviringo wastani wa gunia 150 hadi 170 kwa ekari. Binafsi nimevutiwa sana.

Soko lake kubwa ni wapi na anauzaje kwa gunia?
 
Usiishie tu kuvutiwa. Uende ukaunge mkono juhudi kwa kuwekeza pia kwenye hicho kilimo, ili na ujipatie kipato cha uhakika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom