Nokia n8 kwa 450,000/= tu, check attachment

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Haya sasa nimewawekea na picha kabisa,sitaki kuuza mbuzi kwenye gunia,bofya attachment hapo chini
 
Attachments

  • Image0042.jpg
    Image0042.jpg
    211.7 KB · Views: 94
Kwa tatu na nusu naweza kukutafutia.

Mhe, Jeff

Sina lengo la kukuharibia biashara, ila ninaomba niwe mkweli katika hili.

Ukweli: Kuna mtu amepita ofisini kwetu anazungusha hizo simu na kaniuzia simu kama hiyo n8 kwa Sh 200,000/- (laki mbili) akijifanya amezichukua mahala ambapo hazijalipiwa kodi na ushuru....Nami nikaamini, hakika hiyo ni Mchina tena FEKI....Mwanzoni, ilikuwa ukiiwasha inaonyesha original symbol ya Nokia ya mikono inayosalimiana....lakini kwa sasa mikono imepotea na inaonyesha viwatu viwili vikisalimiana usiku usiku (vinaudhi). I regret kupoteza laki mbili zangu. Nimeamua kumgawia jamaa fulani, lakini bado ninajutia kupoteza hiyo hela.

So please, kama kuna mtu yuko serious kununua simu kama hiyo....awe makini asije akajuta kama ninavyojuta......
 
Hahahahaaa, nacheka kama vile mazuri! Mkuku, kipimo cha nokia original siyo logo inayodisplay wakati wa kuwasha bana...ebu jaribu kugooogle kidogo!!
 
Mkuu pole sana kwa dhoruba iliyokupata! Nikiwa D'Salaam safari moja eneo la NMB Bank House akaja kijana mmoja na simu hiyo hiyo nokia N8. Nikamwambia mimi sina hela, akaning'ang'ania sana at last nikamwambia alilete niicheki kama kitu original. Nikacheki nikaona maandishi yamekaa kichina china!!!!
Nikampa sure akakataa kwamba ni kitu toka kwa mama, yaani Finland!!!! Nikamwambia nini 100,000.00 kwa sababu sikujipanga baada ya sound nyingi akaridhia. Nikavungia ngoja niingie ATM kutoka nikamwambia nimeghari siitaki tena kwa sababu vitu vya kununua mtaani vina risk kubwa hivyo sipo tayari tena. Akataka kunichenjia, nikampiga bit la kufa mtu akalegea na kukubali bora yaishe.
Nikaona haitoshi, nikaenda maduka fulani pale round about kwa mbele kama unaelekea bank ya Azania kuna maduka yanauza vitu genuine. Nikafika, nikauliza na kuiwasha nikaona tofautu iliyopo yaani na kumshukuru Mungu na kuniepusha na tapeli lile!!!!!
Hivyo, sikandii biashara ila namshauri wanunuzi kama wanataka simu wanunue Samsung, Sony Erikison au Nokia Original au ununue mchina kabisa kwa bei nafuu huku ukijua.
 
Mhe, Jeff

Sina lengo la kukuharibia biashara, ila ninaomba niwe mkweli katika hili.

Ukweli: Kuna mtu amepita ofisini kwetu anazungusha hizo simu na kaniuzia simu kama hiyo n8 kwa Sh 200,000/- (laki mbili) akijifanya amezichukua mahala ambapo hazijalipiwa kodi na ushuru....Nami nikaamini, hakika hiyo ni Mchina tena FEKI....Mwanzoni, ilikuwa ukiiwasha inaonyesha original symbol ya Nokia ya mikono inayosalimiana....lakini kwa sasa mikono imepotea na inaonyesha viwatu viwili vikisalimiana usiku usiku (vinaudhi). I regret kupoteza laki mbili zangu. Nimeamua kumgawia jamaa fulani, lakini bado ninajutia kupoteza hiyo hela.

So please, kama kuna mtu yuko serious kununua simu kama hiyo....awe makini asije akajuta kama ninavyojuta......

Umeliwa mkuu Yakuza,ndo tatizo la ujanja mwingi huo,Mkuu nami nakuhakikishia hii cm hata kwa laki 3 siuzi kamwe,niko nayo huu ni mwez wa 8 sasa iko safi,na hyo mikono ya nokia ipo kama kawa,na mm niliachiwa hii cm na mtu aliporud kutoka nje ikiwa na kila kitu,we endelea kuibiwa
 
Hahahahaaa, nacheka kama vile mazuri! Mkuku, kipimo cha nokia original siyo logo inayodisplay wakati wa kuwasha bana...ebu jaribu kugooogle kidogo!!

Mwambie huyo,mana ataendelea kutapeliwa mpaka Yesu arud
 
Back
Top Bottom