hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
nimeuharibu.
duh! Ukipata dem wa hivi!!! Ka police academy vile! L.o.l
nimeuharibu.
aukwend dar west UTAKWENDA CONTINENTAL...ful stop
ok ..tuanze kwa dada jd mzalendo frday
jmos kwa mbowe
j2 tutaenda kushinda kanisan ..morning groly mpaka sala ya jion
ATM ninayo au unayo vile?skumbuik km nilikurudishia...
hashy mimi huwa natii sasa siwezi kukataa itabidi twende continental tu
Umesha wahi kuhudhuria promosheni za Heineken?
kuna mabinti wakatika hao ni balaa.
kila nikiwa bar, halafu Heineken wakiwa wanafanya promotion zao, walah muda wote wa shoo Mzee Juma anakuwa amekasirika kwa hamu ya kuwapata hao mabinti.
duh! Ukipata dem wa hivi!!! Ka police academy vile! L.o.l
duh! Ukipata dem wa hivi!!! Ka police academy vile! L.o.l
yesunaulizwa na unapswa kujibu yes/no hakuna majadiliano
nyie ndo wale mlio imbwa na bushoke....l.o.l
Hashy mimi huwa natii sasa siwezi kukataa itabidi twende continental tu
teh teh ...anaaweza akatumia ile trick ..mkaenda uko west afu akanijia na defender usiku wa manane mi ntajua katoka polic...lkin nshajua mtaenda so hakuna cha kunidanganya
Lol!! Ila kuna advantage kule tukienda yeye akiwa na marafiki zake sisi tuko busy tunacheki show na kukagua
Nilikurudishia lakini si unajua pesa mpya inakataa kabisa kutoa
nyie ndo wale mlio imbwa na bushoke....l.o.l
ni mahaba babu weeeee si bushoke wala chicha!!!!!!!
sometimes you make me imagine you in real life,hiyo brain ya kutoa excuse hivi duh......GOD FORBID
hiyo difenda ya kizamani......naenda kulazwa nilizimia ghafla wakati narudi nyumbani.......manesi wenyewe wazee wa madili...
umemlisha nyama ya kopo weye si haba....
clever.....:clap2::clap2:
hiyo difenda ya kizamani......naenda kulazwa nilizimia ghafla wakati narudi nyumbani.......manesi wenyewe wazee wa madili...