Nnye Tepetepe

ok ..tuanze kwa dada jd mzalendo frday
jmos kwa mbowe
j2 tutaenda kushinda kanisan ..morning groly mpaka sala ya jion

ATM ninayo au unayo vile?skumbuik km nilikurudishia...

Nilikurudishia lakini si unajua pesa mpya inakataa kabisa kutoa
 
Umesha wahi kuhudhuria promosheni za Heineken?
kuna mabinti wakatika hao ni balaa.
kila nikiwa bar, halafu Heineken wakiwa wanafanya promotion zao, walah muda wote wa shoo Mzee Juma anakuwa amekasirika kwa hamu ya kuwapata hao mabinti.

Kijana achana na pombe zitakufikisha pabaya!
 
duh! Ukipata dem wa hivi!!! Ka police academy vile! L.o.l

teh teh ...anaaweza akatumia ile trick ..mkaenda uko west afu akanijia na defender usiku wa manane mi ntajua katoka polic...LKIN NSHAJUA MTAENDA SO HAKUNA CHA KUNIDANGANYA
 
teh teh ...anaaweza akatumia ile trick ..mkaenda uko west afu akanijia na defender usiku wa manane mi ntajua katoka polic...lkin nshajua mtaenda so hakuna cha kunidanganya

hiyo difenda ya kizamani......naenda kulazwa nilizimia ghafla wakati narudi nyumbani.......manesi wenyewe wazee wa madili...
 
Lol!! Ila kuna advantage kule tukienda yeye akiwa na marafiki zake sisi tuko busy tunacheki show na kukagua

ahhhh mnadanganyana...ntakuweka apa kwapan km kipoch changu mkono wako kwapan kwangu mwanzo mwisho toil nakusubiria mlangon...:laugh:
 
sometimes you make me imagine you in real life,hiyo brain ya kutoa excuse hivi duh......GOD FORBID

teh teh !!!
inabd ajieleze akichek POLICE aliyenae ....ah maelezo nyoshaaaaaaaaaaaaa moja ..mbili...MCHEZO?
 
Back
Top Bottom