pmwasyoke
JF-Expert Member
- May 27, 2010
- 4,594
- 2,981
Mimi nadhani ushindani katika sekta ya benki bado ni wa chini sana ndiyo maana tuanalanguliwa kwa kwenda mbele. Sio rahisi kutegemea huruma yao washushe gharama mbalimbali - inabidi wasukumwe na soko. Mabenki mengine mengi zaidi yanatakiwa kuanza.