CRDB VS NMB: Watani wa Jadi (Simba na Yanga) katika sekta ya Kibenki Tanzania

Ze_Papirii

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
424
819
Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa hizi Bank mbili ni wababe ktk sekta ya Biashara ya kibenki Tanzania na hii ni kutokana na ukubwa waliokua nao na pia kutopishana sana kwny baadhi ya takwimu zao muhimu kama zinavyojieleza hapa chini..

1. THAMANI YA MALI WANAZOMILIKI(ASSETS VALUE)
CRDB:-Tsh13.2 Trilion
NMB:-Tsh12.165 Trilion

2. AMANA ZA WATEJA(CUSTOMER DEPOSITS)
CRDB:- Tsh 8.9 Trillion
NMB:- Tsh 8.4 Trilion

3. SHAREHOLDERS VALUE
CRDB:- Tsh 1.8 Trilioni
NMB:- Tsh 2.25 Trilioni

4. FAIDA BAADA YA KODI
CRDB:- Tsh 424Bn
NMB:- Tsh 542Bn

5. BEI KWA HISA MOJA DSE
CRDB:- Tsh 460
NMB:- Tsh 4500

6. BRANCHES(MATAWI)
CRDB:- 243(2022)
NMB:- 226(2022)

7. WAFANYAKAZI
CRDB:- 3700+
NMB:- 3500+

8. KUANZISHWA
CRDB:- 1996
NMB:- 1997

9. FOLLOWERS INSTAGRAM
CRDB:- 275K
NMB:' 270K

Unaeza kuongezea chochote cha ushndani pia kuhusu hzi benki mbili kubwa nchini binafsi nawakubali sana NMB kwny kitengo cha HUDUMA KWA WATEJA.

Nini kinakufurahisha na kipi kinakukera kutoka kwa hawa miamba wa sekta ya Bank na ni Bank ipi inayokuvutia zaidi ya hzo mbili hapa nchini...
 
NMB Tawi la Kisarawe wanakera.

Madirisha yapo 7 ila dirisha moja pekee ndilo linahudumia wateja wa fedha nyingi na wa fedha chache.

Kulikuwa na haja gani ya kuweka madirisha 7?
Hicho kitu nmekiona kwny matawi yao kadhaa pia na hilo dirisha linalofanya kazi utakuta lina foleni kubwa hadi kero
 
Back
Top Bottom