Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
Wakati mwingine bureaucracy inasaidia sana, juzi wamekamata mteja wao mmoja ameghushi saini ya boss wao anataka kuchukua mamilioni ya fedha za shule moja ya dini hapa Dodoma. Big up nmbBenki yenu haibadiliki ipo ipo tu kwanini msiwe wabunifu ? Watu wanatafuta hela kwa shida kwenda kutunza hela zao na kuchukua pia wapate shida ? You have to be creatives and avoid conservatism.
Hapo Iringa ndio walinifanya nikahamia crdb. Yule meneja hafai hata kidogo,Kuna baadhi ya matawi yenu wana kasumba ya kutoruhusu withdrawal za wastani tu kwa kisingizio eti hawana fedha za kutosha hasa tawi lenu la Mkwawa Iringa, juzi tu kuna taasisi ilienda kutoa mil 40 kwa ajili ya malipo ya kazi fulani kwa wafanyakazi wake wakaambiwa hakuna fedha, ukienda kutoa laki zako nne tu kwenye atm za pale utaingiza kadi mara mbili na makato yanaongezeka, ukiingia ndani ya benki kwenye foleni unakuta durisha mbili tu ndo zina wahudumu zingine closed temporarily na wakati mwingine wanadai eti siku hizi kuna mawakala wateja waende huko kisa wahudumu wanataka kupumzika tu, atm mashine zipo zaidi ya kumi mjini zinazofanya kazi ni tatu tu, manager wa mkwawa hayupo makini na kazi yake!
Mkuu ni Salio la aina gani? La mpesa au la kawaida?.
Nipe ufafanuzi kidogo yaani kama kipi na kipi kikikosena basi Huduma haifanyi kazi .
Halafu makato yakoje?.
Ntashukuru sana kama ntapata ufafanuzi wa Huduma hii maana kwa saaa nipo bush kwa kazi maalum mpaka nitoke huko itachukua muda sana na benki Hamna kabisa.
kama unatumia voda hakikisha unakuwa na salio kwenye simu. Kila unapofanya muamala unakatwa 100 mpaka 200 kwenye salio lako(muda wa maongezi) na kama hutokuwa na salio kwenye line hutoweza fanya muamala wowote. Airtel na tigo ni bure.
Nimejiunga na Nmb mobile .
Sasa kila nikipiga *150*66# kwa ajili kufanya mualama from my nmb account to my mpesa naambiwa" you have not enough funds to do this transactions .
Sielewi elewi na mbaya zaidi nipo mbali kutoka kwenye branch niliyofungulia account yaani nipo porini kabisa.
mtu akipoteza kadiyake mjitahidi kumpatia nyingine sio mpaka mwezi uishe au nazaidi