Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117
- Thread starter
- #21
Kama nmekuelewa ulimaanisha dini zao...Kwani imani zao zikoje?
Wote ni waislam.
Kama nmekuelewa ulimaanisha dini zao...Kwani imani zao zikoje?
Kwani uke wenza unamatatizo gani?Afadhali huyo mwanamke alijua mapema hataki ukewenza akamsainisha jamaa!
Kwani uke wenza unamatatizo gani?
Nliona imehukumiwa kua huyo mke wa kwanza hakupenda huo uke wenza!Mi sijui muulize aliesaini kwamba hataki!!!!
Umeona eee! Uzinzi tu!Aridhike na aliyenae.
Wazuri kila siku wanazaliwa.
Ataacha wangap?
Nliona imehukumiwa kua huyo mke wa kwanza hakupenda huo uke wenza!
That's y kutaka jua kama uke wenza una matatizo gani?
Nliona imehukumiwa kua huyo mke wa kwanza hakupenda huo uke wenza!
That's y kutaka jua kama uke wenza una matatizo gani?
Mimi dini yangu hairuhusu!Huyo dada ndo mwenye unazotaka kusikia!Muulize!
Wajua bora halali.
Kuliko kuwekewa nyumba ndogo...
Anyway Lizzy we dini yako ipi?
Unajua kibiolojia ni sawa mwanamke / wanawake wengi kua na mwanaume mmoja. Mbaya ni mwanamke kua na wanaume wengi.Dah uke wenza MJ,unatakiwa usiwe na wivu aisee!!! Duh siamini kama kuna amani ya kutosha kwenye uke wenza aisee!!!
Haya bibie!Dini yangu siri yangu!Binafsi sina bora hapo!Mume wa kushea wa kazi gani?Si bora kutokuolewa!
Right person at the wrong time.Right person at the wrong time
Haya bibie!
Kuolewa na kuziniwa tafauti ni ipi kwako?
Member hapo twamsaidiaje?Cha msingi kama bado hawajafunga ndoa amwambie huyo wa kwanza kuwa anatarajia kuoa na wa pili. Tifu litaanzia hapo na kuendelea. Tatizo la kuoa/olewa mtu si chaguo ni pingu za kweli
Japo ungenambia imani yako...ungenisaidia kukuelewa.Naona sasa unapoelekea siko!Unataka nifagilie ukewenza?Kwa dini na mawazo yangu ukewenza hauna tofauti na huko kuziniwa maana ndoa ni ya watu wawili na sio watatu!
Mhhhhhhhhh!Umeona eee! Uzinzi tu!
Japo ungenambia imani yako...ungenisaidia kukuelewa.
Basi unisaidie kutafautisha kuolewa na kuziniwa?