nlipotafuta sikupata...sasa ndio wanapatikana...

duhh...right person..right tym..right place...Haiwi applicable kwenye kufunga pingu za maisha mara nyingi.:hurt:
 
Cha msingi kama bado hawajafunga ndoa amwambie huyo wa kwanza kuwa anatarajia kuoa na wa pili. Tifu litaanzia hapo na kuendelea. Tatizo la kuoa/olewa mtu si chaguo ni pingu za kweli
 
Nliona imehukumiwa kua huyo mke wa kwanza hakupenda huo uke wenza!
That's y kutaka jua kama uke wenza una matatizo gani?

Dah uke wenza MJ,unatakiwa usiwe na wivu aisee!!! Duh siamini kama kuna amani ya kutosha kwenye uke wenza aisee!!!
 
Dah uke wenza MJ,unatakiwa usiwe na wivu aisee!!! Duh siamini kama kuna amani ya kutosha kwenye uke wenza aisee!!!
Unajua kibiolojia ni sawa mwanamke / wanawake wengi kua na mwanaume mmoja. Mbaya ni mwanamke kua na wanaume wengi.
Hivyo wanawake wengi ni ule moyo wakutojiamini kwenye mapenzi akiwa na mwanamke mwenzie.
 
Haya bibie!
Kuolewa na kuziniwa tafauti ni ipi kwako?

Naona sasa unapoelekea siko!Unataka nifagilie ukewenza?Kwa dini na mawazo yangu ukewenza hauna tofauti na huko kuziniwa maana ndoa ni ya watu wawili na sio watatu!
 
Naona sasa unapoelekea siko!Unataka nifagilie ukewenza?Kwa dini na mawazo yangu ukewenza hauna tofauti na huko kuziniwa maana ndoa ni ya watu wawili na sio watatu!
Japo ungenambia imani yako...ungenisaidia kukuelewa.
Basi unisaidie kutafautisha kuolewa na kuziniwa?
 
Japo ungenambia imani yako...ungenisaidia kukuelewa.
Basi unisaidie kutafautisha kuolewa na kuziniwa?

Nimeshakwambia hamna ndoa ya watu WATATU!Mmoja anakua ameolewa ila ana nyumba ndogo iliyohalalishwa...na huyo nyumba ndogo sio mke ni nyongeza tu kwenye tamaa za kibinadamu!Kwahiyo mke ni huyo wakwanza...wa pili ni mziniwa!Hopefully umenisoma sasa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom