Njoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja

Mkuu sijakuelewa ulivyotuma ujumbe kuwa Group la Kilimo Whatsapp nambari uliyoitaja hapo, Je! ni kwamba kama mtu anahitaji kuwa kwenye grp hilo akutumie ujumbe kwa nambari hiyo au ulimaanisha kitu kingine, ufafanuzi tafadhali
Kama unatak kujiunga ni txt kweny hyo namba
 
Habari wakuuu

Naimani humu kuna figher kibao wa fursa mbalimbali

Leo nawaletea fursa ya kutengeneza pesa kupitia mitandao ya kijamii.

Ni kupitia kuwa na simple blog tu ambayo utaweka habari au chochote unachopenda then hiyo post yako utaisambaza kwenye mitandao ya kijamii kama facebook.... pale watazamaji watakavyoingia utajipatia pesa

Kampuni ya google adsense ndio itakayokulipa kutokana na matangazo yao kuonekana kwenye blog yako...

Kama unafahamu vizuri mambo ya komputa utaanza fursa hii bila kutumia hata sh mia kwani utafungua blog na kisha utajisajilo kwenye website yao...

Lakini kama mambo ya internet hufahamu vizuri basi tutakuelekeza namna ya kufanya kwa gharama nafuu sana.

Karibuni 0713774746
 
Kama wewe ni mkulima na mfugaji kwa vitendo na ungependa kujumuika na wakulima wenzako whatsapp 0717269137 (kama haulimi wala kufuga haikuhusu) WE NEED SERIOUS PEOPLE
 
mkuu kwakuwa umeweka jukwaani humu nikutaarifu kuwa Kama ukitengeneza madebe 3500 ya maharage unaweza kupata kiasi hicho kwa muda wa miezi mitatu tuu. Kilimo hiki kinafanywa wilaya ya wanging'ombe pasipo gharama za mbolea. Mtaji wa m 6 tuu unatosha mavuno ni uhakika bila kuhofia wadudu wala ugumu wa soko. Tuamue!!
Hiyo wilaya iko mkoa gani?
 
Ukienda Pakistan, ukaweza kumeza vidonge 30, ukashukia baharini, ukapiga mbizi km 3 na kutokea Zenj popote, mbona hiyo kiasi ya mboga tu?
Vijana wa JPM mizigo kweli kweli. Unawaza pesa ya mbaali wakati huna ya kutolea lock asubuhi? Poleni. Mtu hujaweza zalisha elfu 5 kwa siku unawaza 100m. Si vibaya kuota lakini, bora kuota kuliko kulala ka gogo
 
Mkuu inawezekana wewe ndio hujaingiza hata sh 100 leo... ila wenzio tunapiga kaza haswa sema tunataka kuongeza kipato

Sent from my GT-I9190 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu inawezekana wewe ndio hujaingiza hata sh 100 leo... ila wenzio tunapiga kaza haswa sema tunataka kuongeza kipato

Sent from my GT-I9190 using JamiiForums mobile app

Kwa hiyo mkuu weye unaona siye tumelala? Kwa mtindo huu wa kutumbuliwa majipu utapiga biashara gani hiyo ya kuingiza hiyo 100m kwa mwaka? Tutonye na siye tuingie. Kwetu Wajaluo tuna kamsemo kanasemaga; Chamduago. Yaani tule wote.
 
Ahsante. Naomba admin uirudishe hii post kwenye business forum... hii si post ya kuhusu kilimo tu
 
I like the idea of blog vs google adsense coz it gives passive income. Its a business which itandelea kukiingizia kipato bila ya wewe kuwepo pale wakati mrefu. Most of the rich people nowdays are those who laid their foundation on passive income business. Its possible kuwa na biz itakayokupa more than 100m per year but sio kitu cha kufanyika kwa mda mfupi tu ukapata hizo 100m kwa siku moja ni lazima kuweka msingi kwanza coz money its an idea so inategemea attitude yako towards money ikoje. Money attracts smart people as poor attacts foolish ones. So tuelekeze disscussion yetu kwenye jinsi ya kujenga msingi wa kuwa na business itakayozalisha more than 100 per year.
 
Yes brother nimekupata fresh... moja ya changamoto ni kutozungusha mtaji na faida. Unakuta mtu biashara inalipa frssh but ile profit badala ya ku expand business au kuanza anothr business. Anaenda kusolve matatizo ambayo yaliyokuwepo always so unabaki pale pale
 
Back
Top Bottom