Njoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja

ukiweza kuwashawishi Wamasai kuvaa bidhaa zako utapiga hela yakutosha, utahitaji kontena kadhaa kukidhi mahitaji yao ya nguo za ndani za kike na kiume zitakazokulipa sana.
Hui imekaa poa kabisa daah
 
Kama una mtaji mkubwa import frozen chicken toka Brazil au frozen tilapia fish toka China au Europe.
Badala ya kuimport haiwezekani hao wote ukazalisha mwenyewe na kuuza hapa hapa ili upige super normal profit?
 
Very simple wakuu

Andaa shamba lako heka 2 tu

Andaa mbegu za matikiti
Ambapo kwa heka 2 utapanda mbegu hzo na kupata miche 888

Chukua miche 888 mara 3 yaani nikiwa na maana kila mche utatoa matikiti ma 3 ambavyo ki kawaida ni mayikiti matano na ukumbuke tuna heka 2

So tutachukua 888 × 3 = 2649

Kila baada ya cku 21 utapuliza dawa shambani na kilimo hichi ni vzuri kikawa cha umwagiliaji.

Bei ya kuuza tikiti unaweza kufanya 2000×2649= utapata 5,268,000

So kwa hekali zaid utavuna zaid ambapo kwa hekali 2 kwa mwaka ni sh 5,298,000 × 12 = 58,278,000

Nimemalza
Nnahisi kwenye mahesabu yako umesahau kuwa tikiti hauvuni ndani ya mwezi 1.

Kumbuka tikiti halilimwi msimu wa mvua so hesabu yako ina walakini.
 
Hizi biashara za mtandao zinatudumaza sana vijana ila amini usiamini hakuna mtu atakulipa kwa bla bla bila kupiga kazi kweli kweli mwanaume ukasonga mbele. Ebu ianze hiyo kazi uone kama hutoomba pesa ya kula kwa manzi ako
 
Hizi biashara za mtandao zinatudumaza sana vijana ila amini usiamini hakuna mtu atakulipa kwa bla bla bila kupiga kazi kweli kweli mwanaume ukasonga mbele. Ebu ianze hiyo kazi uone kama hutoomba pesa ya kula kwa manzi ako
Karibu
 
mkuu kwakuwa umeweka jukwaani humu nikutaarifu kuwa Kama ukitengeneza madebe 3500 ya maharage unaweza kupata kiasi hicho kwa muda wa miezi mitatu tuu. Kilimo hiki kinafanywa wilaya ya wanging'ombe pasipo gharama za mbolea. Mtaji wa m 6 tuu unatosha mavuno ni uhakika bila kuhofia wadudu wala ugumu wa soko. Tuamue!!
Maharage ya aina gani na debe hizo kwa ukubwa wa eneo gani.
 
Karibia biashara yoyotr inaweza kutengeneza kiasi hicho, hiyo ni chini ya 50,000 usd sio nyingi kama unavyofikiri. Watu wanatengeneza hiyo kwa mshahara tu.
Mbona kama unamkatisha tamaa aliyeleta wazo kwa faida ya MwanaJF yeyote mwenye shida! Kama una plan B ingekuwa viziri na wewe ukaileta, $50,000 ni nyingi kwa wengine!!
 
Back
Top Bottom