Wandugu natafuta dawa ya kuacha pombe jamani. Nisaidieni kila nikikumbuka ze pombe naamishia ofisi kaunta. Yaani ndugu nateseka sana. Halafu nikisha kunywa nahamasika sana na mchezo wa ule wakati watoto wamelala. Nifanyeje jamani?

du kazi kazi kwelikweli mpaka uvunjiwe yai bichi utaacha mwenyewe
Kaka kuachia ngazi mbona ni matisho. Yaani nitapike mpaka niachie ngazi? Noooooooooo hapana. Mi nataka niache pombe tu sio niachie ngazi.
kama una mzazi karibu chukua glac yako ya bia mwambie adondoshee tone la maziwa unywe, hutakaa uguse pombe! nimeshuhudia kwa mtu hii kitu.
hii pia mie nimesikia dawa sana
Naomba contact zake au nielekeze nitampatajeFaza pale kihonda magorofani morogoro anatoa dawa, sh elf kumi tu
sikumbukagi nimeanza saa ngapi ila huwa nakuta nina bia mezani! mateso jamani nisaidieni!