ulevi wa pombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Aina kuu tatu za ulevi wa pombe

    Ulevi wa pombe haupo wa aina moja. Kuna aina kuu tatu. 1. Hamu kali ya pombe. Ulevi wa aina hii ni ule ambao mtu anakuwa na hamu kali sana ya pombe kiasi kwamba hawezi kufanya wala kuwaza jambo lingine mpaka aipate. 2. Kushindwa kujizuia kutoendelea kunywa. Mlevi wa aina hii akianza kunywa...
  2. DR HAYA LAND

    Nimempinga mpangaji ngumi je, nipo sahihi?

    Naomba ufafanuzi, Mimi ni introvert mtaa mzima wanaelewa kuwa sina makuu na mtu. Siongeagi na mtu yoyote pasipo sababu za msingi. Sasa hapa ninapopanga kuna mpangaji analewa then ananigonga madirisha yangu bila sababu. Nimefungua dirisha na nimemsalimia na kupitisha mkono vizuri na kumpa ngumi...
  3. NetMaster

    Uvivu nao ni aina ya ulevi kama uraibu wa pombe, uzinzi na bangi?

    Uvivu upo kundi la ulevi kama ilivyo kwa waraibu wa pombe, umalaya, bangi, sigara, n.k ? Ni ulevi upi wa ziada wavivu huupenda?
  4. sky soldier

    Kumwacha jela kifungo cha mwaka kutasaidia kutoa sumu ya ulevi wa pombe?

    UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea...
  5. Memtata

    Mlevi, mzee wa kupiga hesabu baada ya matumizi

    Hakuna siku nzuri kama siku nikiwa natoka kazini huku nikijua kesho yake sintoingia (off), koo huwa inanikereketa sababu ya kiu ya pombe huwa natamani nipae ili niwahi kufika mjini nianze kuzigwida. Mara tu nifikapo town hatua ya kwanza huwa ni kwenye ATM kuvuta mpunga, nikiwa na salio kwenye...
  6. M

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Wana JF, Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma. Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake. Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau ---
Back
Top Bottom