Unywaji wa pombe na tatizo la Figo

Los santos

JF-Expert Member
Jan 14, 2021
964
2,045
Daa tarehe 1 Jan 2024 ilikuwa pigo kwa mshkaji wangu niliyempoteza kutokana na Tatizo la Figo ikiwa ni kutokana na kunywa pombe kupindukia.

Kwa kweli ningekuwa na nguvu ya kumzuia mtu asinywe pombe kupindukia ningefanya, na sijajua kwanini Kuna wimbi la vijana kufeli Figo zao kipindi hiki ilihali zamani ulevi ulikuwepo lakini hakukuwa na shida kama hizi.
 
Pombe zenyewee ss utengenezaji wakee nyingi cku hzi zinatengenezwaa magetonii.View attachment 2861917View attachment 2861918
IMG-20240101-WA0014.jpg
 
Daa tarehe 1 Jan 2024 ilikuwa pigo kwa mshkaji wangu niliyempoteza kutokana na Tatizo la Figo ikiwa ni kutokana na kunywa pombe kupindukia ..kwa kweli ningekuwa na nguvu ya kumzuia mtu asinywe pombe kupindukia ningefanya, na sijajua kwanini Kuna wimbi la vijana kufeli Figo zao kipindi hiki ilihali zamani ulevi ulikuwepo lakini hakukuwa na shida kama hizi
Sio figo tu ,na maini pia watu wanateketea sana
Mnaona sifa kunywa pombe kali ,tena unakuta mazoba flani yanachanganya hivyo vivywaji kabisa bila kujua side effects ya kuchanga ya contents za vinywaji vyenye chemical ingredients tofauti tofauti ni kutengeneza sumu na kuoverload figo na maini
Sijui huu ulimbukeni na ushenzi watanzania walijitokeza wapi .
Pombe ya aina yoyote ni hatari kwa afya yako
 
Umejuaje pombe ndio chanzo?

Vidababishi vingine
-Chumvi kupiga kiasi
-kukaa na mkojo muda mrefu
-energy drink
- High blood pressure
-Drug abuse
-Herbal medicine
-kutokunywa maji Lita 3
-pombe na sigara
Kutokunywa maji lita 3 itoe hapo. Hakuna sehemu unatakiwa unywe maji kiasi hicho. Mwili una respond wenyewe unapokuwa na kiu. Unapokuwa na kiu kunywa maji.
Kunywa maji mengi ni kuzichosha figo vile vile na maji yanaondoa mwilini nutrients zingine kama Calciums.
Kunywa maji pale mwili unaporespond uhaba wa maji mwilini kwa kuhisi kiu tu.
 
Back
Top Bottom