Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 153,271
- 454,946
huko ndio sipatumii kabisaBass Njoo Pm
huko ndio sipatumii kabisaBass Njoo Pm
dah ataweza kweli?Mwambie mtu akuwekee maziwa ya nguruwe anayenyonyesha kwenye pombe utakayokunywa ukishindwa nenda kanisani kuombewa
Watu wanaenda bar kwa ajili ya kupanga mipango ya kupata pesa, wanywa pombe ambao siyo walevi wana maendeleo balaa kuliko hata wasio kunywa ambao wanakuwa wanzinzi balaa.Kwani hata akiacha kunywa ataishi milele?? We only live once and for all!
Hii ni pesa kidogo sana kuliko mtu anaye honga, kumbuka bar siyo kunywa tu, mtu unaweza kumpa ofa ya bia mbili kesho ukamfuata ofisini akakusaidia kuliko aliyempa rushwa ya laki 2, pia wasio kunywa wanakuwa wanzinzi balaa hivyo wanapoteza pesa nyingi sana kwenye nyumba ndogo.piga hesabu hasara:
mwaka
bia 3@1500 4500×30 =135,000×12=1,620,000
nyama 15,000@month =15,000×12 =180,000
other expnses kutoa ofa
usafiri kuhonga nk 50,000@mnth×12=600,000
total 2,400,000
chukua 1,620,000÷1500= 1080
kwa mwaka unakunywa chupa 1,080 ni sawa na cret 54
huonei huruma ini.
Bar unapata marafiki wazuri sana kuliko kujifungia ndani maana siku ukipata tatizo ndiyo utajua faida ya marafiki.Kula beer acha uoga....ila jitahidi kuongeza nidhamu
Asinywe viroba anywe pombe za heshima ambazo anakutana na watu wanapanga dili za kueleweka.Hii analysis yako hainisaidii kuacha pombe.... Kwa sababu ninajua kuwa ninapata hasara.
Hauwezi kwenda bar,ukapunguza pombe kidogo ukiwa na pesa,na hauwezi kuacha pombe kwa kunywa kidogo kidogoKuacha pombe au kilevi kingine chochote huwa ni kitu kigumu sana sana sana, ila kinawezekana. Kwanza uwe binafsi una nia ya dhati na kweli kuacha (hii ndio msingi wa yote), then anza taratibu kupunguza, kama unapata 3, jaribu kushusha to 2 or 1 a day kwa muda wa kama week moja hivi au zaidi. Ukifanikiwa hilo, ujue the rest is simple.
Kwa kifupi, kuacha ugimbi ni wewe mwenyewe ukitia nia na kuchukua hatua.
All the best kwenye hiyo vita
Hizi cost za usafiri na kuhonga umezipataje mkuu naomba uzoefu wako japo hunywi!piga hesabu hasara:
mwaka
bia 3@1500 4500×30 =135,000×12=1,620,000
nyama 15,000@month =15,000×12 =180,000
other expnses kutoa ofa
usafiri kuhonga nk 50,000@mnth×12=600,000
total 2,400,000
chukua 1,620,000÷1500= 1080
kwa mwaka unakunywa chupa 1,080 ni sawa na cret 54
huonei huruma ini.
mimi mnywaji mzuri tu. Kunywa pombe hakuna madhara, ilmradi uzingatie kunywa kwa kiasi na kwa mda maalumu. Kunywa kiasi sio unywe kidogo, kunywa hadi ulewe. pia zingatia lishe bora na aina za pombe. maisha Muuuurua kabisawoga kwangu ni msamiati.
ata kama unatumia mil 50 urumia mwili wako.
pombe ni tamuu kwelii kwelii na alianzisha pombe abarikiwe sana.
hoja ni kwamba inyweke kidgo sababu kuu ni kwamba ukinywa nyingi utakufa haraka uache utamuuuuuu.
maneno yangu SIO SHERIA.
sipangiwi chakuandika.
mimi mnywaji mzuri tu. Kunywa pombe hakuna madhara, ilmradi uzingatie kunywa kwa kiasi na kwa mda maalumu. Kunywa kiasi sio unywe kidogo, kunywa hadi ulewe. pia zingatia lishe bora na aina za pombe. maisha Muuuurua kabisa
POMBE ILIUMBWA KUMFURAHISHA MWANADAMU
POMBE NI KAMA UHAI KWENYE ROHO YA BINADAMU
MAISHA YAFAA NINI BILA POMBE?
EE MUNGU ASANTE KWA KUTULETEA KIMEA
ASANTE KWA MIMEA NA VYOTE VITENGENEZAVYO POMBE
ASANTE KWA KUTUPATIA MUDA WA KUPOMBEKA TUWAPO HAPA DUNIANI
ASANTE KWA KUTUPATIA FEDHA KWA MATUMIZI YA POMBE
MLAZE PEMA PEPONI ALIYEGUNDUA POMBE, NI NABII WETU
WABARIKI WOTE WATENGENEZAO NA KUUZA POMBE
WALAANIWE WOTE WANAOPIGA VITA POMBE
WALAANIWE WOTE WANAOCHUKIA NA KUNYANYAPAA WALEVI
OLE WAO WAISEMAYO VIBAYA POMBE - HAWATAUONA MWANGA WA MILELE
OLE WAO WAPIGA VITA POMBE - HAWATAUONA UZIMA WA MILELE
EEE MWENYEZI MUMGU TUNASHUKURU KWA SIKU INGINE TENA
TUNAKUOMBA UTULINDE KATIKA UNYWAJI WETU HADI TUREJEE MAKWETU
UWALINDE WALIOBAKI MAJUMBANI - WATOTO NA WAGONJWA
UWAONGEZEE UVUMILIVU NA BARAKA TELE WAUZA POMBE
UTUPATIE POMBE MILELE NA MILELE
AAAAAAAMINAAAAAAAAAA
daaah kwel mkuu kuna mtu nilimwambia ni Heri mwanaume awe Mlevi wa Pombe lakin sio wanawake walinishangaa sana ila hawakujua naamanisha ninWatu wanaenda bar kwa ajili ya kupanga mipango ya kupata pesa, wanywa pombe ambao siyo walevi wana maendeleo balaa kuliko hata wasio kunywa ambao wanakuwa wanzinzi balaa.