Njia gani nifuate kuanzisha dini mpya- Sheria inasemaje?

Insurgent

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
469
18
Wanajamvi, nimefikiria...hizi dini zote tumezikuta na zimeanzishwa na watu wengine kutoka nje ya nchi yetu. Ndio kusema sina haki ya kuanzisha dini mpya?

Naomba msaada katika hili, ili niweze kutumia haki yangu ya kuabudu kama ilivyoyakinishwa katika katiba.
 
we nenda kariakoo au eneo lolote lenye watu anza kuhuburi kama mwehu bila kuchoka,
 
kuna zilizoanzishwa na history can prove that, kuna ambazo tangu siku ya kwanza mwanadamu anaumbwa alikuwa anayo! you need to reserch that with your mind openly!

inabidi uwe na kitabu chako kitakatifu though, maana ukitumia Biblia ujue una prove kuwa is the best message of God ever

problem is not religion, is people who tend to twist for their benefits
 
dini yako itakuwa inaabudu nini au nani? hilo ndio swala muhimu na ukishaweka wazi anza kutafuta waumini umemaliza kani.
 
Its very simple, you have to prepare "your own hell book" first, Other religions have their holy like Quran, Bible. If you have this document then you have to prove that your religion will help people go to hell or heaven then you have to register it as an NGO
 
I don't think if you must have a book. Kitabu kinafuata baada ya fikra na wala hakizitangulii fikra.
Kwahiyo hayo mawazo yako ndiyo yatakayotengeneza kitabu chako kama kuna ulazima kwani si kila dini zifanane kwa kuwa na vitabu.
 
Nenda brella kajiregiste at least serikali iwe inapata percent ya sadaka kidogo
 
Wanajamvi, nimefikiria...hizi dini zote tumezikuta na zimeanzishwa na watu wengine kutoka nje ya nchi yetu. Ndio kusema sina haki ya kuanzisha dini mpya?

Naomba msaada katika hili, ili niweze kutumia haki yangu ya kuabudu kama ilivyoyakinishwa katika katiba.
don't bring this shit, it is already enough for the problems brought by these so called religions!! Anzisha NGO ya kuwahutubia wakulima na walalahoi namna ya kulima kwa bidii na kufanya kazi kwa bidii, na kuwa hakuna Mungu atakayeleta cha bure au akujaliaje upate; ni kazi yako na bidii zako tu kwa kutumia nature which was exposed to you.
 
Anzisha NGO ya kuwahutubia wakulima na walalahoi namna ya kulima kwa bidii na kufanya kazi kwa bidii, na kuwa hakuna Mungu atakayeleta cha bure au akujaliaje upate; ni kazi yako na bidii zako tu kwa kutumia nature which was exposed to you.

UMENIKUNA WEYE.....WAPE WAPE
 
Mpaka sasa sijapata njia sahihi ya kufuata serikalini ili kuanzisha na kuandikisha dini mpya.

Dini hii inaamini, elements mbili, Oxygen na Hydrogen ndio baba na mama wa dunia hii na Carbon ni element pinga (shetani?).

Maji(mchanganyiko wa baba na mama) ni mtoto lakini vile vile ana baba na mama ndani yake. Elements nyingine zilizobaki ni malaika wa pande zote mbili.

Mafunuo haya yako mengi lakini hii ni Summary.

Faida za kuanzisha dini ni nyingi:-

(1) KODI ! Sitakiwi kulipa kodi.
(2) UWEZO WA KUIKOROMEA SERIKALI - Bila kuogopa lupango
(3) MISAADA MBALI MBALI KUTOKA KWA WAHISANI
(4) KUALIKWA KWENYE MINUSO MBALI MBALI KUTOA SALA NK
(5) KUPEWA VIPANDE VIKUBWA VYA ARDHI SEHEMU MBALI MBALI ili kujenga mashule, mahospitali, hotel, nk (again bila kulipa kodi)
(6) HESHIMA KATIKA JAMII -
(7) SILENT ARMY...
(8) ...

Wadau faida ni nyingi. Nahitaji yoyote mwenye kujua njia sahihi ya kufuata ili kuandikisha dini mpya katika nchi hii. Wazee wa sheria vipi?
 
Unamaanisha dini au dhehebu,
Maana kama ni dini inamwabudu nani?
na kwa kutumia kitabu gani?
 
DICTATORSHIP...That is how I can summarize what happened to my thread on What Tanzanian Law says on starting new religion.
https://www.jamiiforums.com/complai...are-to-talk-free-and-they-censor-at-will.html

Lame excuse was offered on WHERE the thread was moved (rectricted area) but reason to WHY it was put in restricted area was not provided. To make matters worse! The thread is nowhere to be found! Its neither in restricted area nor open area.

The moderators are supposed to decide what is politics and what is not. This thread is not dini at this time and its not law as well. Its politics! The current big religions, Christian and Islam have deep roots in this country. They both enjoy status quo of being big.

What if I had to start new religion, would I enjoy the same facilities offered to them? Do I have right to enjoy the same facilities?

I had listed some of the perks enjoyed by these religions and their institutions:

(1) Tax Free!
(2) Respect
(3) Right to talk bad on the govt without fear of reprisals
(4) Invitation to Big State Functions
(5) Allocation of Big Chunks of Land for Hospitals, Schools, Hotels, etc without Tax
(6) Silent army
(7) etc etc

Wise members of this forum please enlighten and guide me on this new venture of starting new religion.

This is a political issue as we have right to worship whatever we want without breaking the law. I don't want to break the law hence my post here to get guidance on how to get there.

Moderators...there is no need to censor this thread.
 
Dini hii inaamini, elements mbili, Oxygen na Hydrogen ndio baba na mama wa dunia hii na Carbon ni element pinga (shetani?).

Maji(mchanganyiko wa baba na mama) ni mtoto lakini vile vile ana baba na mama ndani yake. Elements nyingine zilizobaki ni malaika wa pande zote mbili.

Faida unazotaja tunaweza kukubali. Ila tu si kila dini inayopewa haya yote hadi ionyeshe ina watu na uwezo fulani.

Ila tu mafundisho yako Bwana nakushauri uende porini ambako watu hawakupata habari za kemia bado. Maana yale uliyoshika - kuna hatari ya kuchekwa. Ila tu hii ni njia ya manabii wote, sivyo?

(Eti sielewi kwa nini unaona kaboni kama mpinzani wa oksijeni na hidrojeni??? Maana inazipenda mno! Uhai wote kikemia ni kaboni pamoja na hizi mbili nyingine)
 
Kipala hakuna haja ya kwenda porini. Watu wataelewa kwanini hii ni dini ya kweli kwa ufunuo unaokuja. Lies za centuries haziwezi kuwa wiped out in one generation but its a start...

Ili uelewe nitakualika kwenye meeting place (not worship as our god doesn't need to be worshiped) once I have the right procedure to register the religion.

Mpaka sasa hakuna njia wazi kuandikisha dini mpya.
 
Wanajamvi, nimefikiria...hizi dini zote tumezikuta na zimeanzishwa na watu wengine kutoka nje ya nchi yetu. Ndio kusema sina haki ya kuanzisha dini mpya?

Naomba msaada katika hili, ili niweze kutumia haki yangu ya kuabudu kama ilivyoyakinishwa katika katiba.

Inaoneka mkuu umeshindwa kujuwa maana ya neno dini. Tafuta maana ya hilo neno, halafu rudia swali lako,
 
Back
Top Bottom